Wajiriwa wa IT - TZ mnatuabisha sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajiriwa wa IT - TZ mnatuabisha sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shiefl, May 8, 2012.

 1. S

  Shiefl Senior Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wananchi wa Tanzania wanawalipa hela waajiriwa wa serikali wasiofanya kazi kabisa. Kila sehemu wanaajiri wataalamu wa IT lakini sioni wanachokifanya. Yaani website ya mashirika hadi ya nchi hazina data za 2010 forget about 2012. Sasa hivi mnakula mshahara wa nini jamani.

  Angalai hii kitu ya EWURA wanasema mradi utakamilika mwishoni mwa 2007....eti web page ya mwaka 2012 kama siyo uhuni ni nini sasa
  "Another 100MW capacity that may come on line by the end 2007 is under construction by TANESCO." check kwenye link hapa
  EWURA - Energy & Water Utilities Regulatory Authority of Tanzania
   
 2. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nchi ya watu typ ya ngeleja unadhani utegemee nini!?
   
 3. i

  iMind JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,908
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Wakulaumiwa ni maafisa habari/mawasiliano/uhusiano wa umma. Wao ndo wenyejukumu la kuandaa taarifa mpya na kuupdate taarifa za zamani na kuziwasilisha katika dawati la IT ikiwa wao hawawezi ku update kwenye tovuti.
   
 4. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  mkitaka tuapudeti mtupe padiem tukaandikie mkoani...hapa hapa Dar..noo
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Fuatilia, karibu I.T wote waliopo Serikali hasa wizarani ni Vilaza mbaya kabisa....wapo pale kuziba nafasi za watu wenye uwezo wa kufanya kazi kisa Bosi ni Mjomba au Baba au Shangazi.....
   
 6. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kweli ni aibu hizo sites zipo bila mabadiliko kwa muda mrefu; lakini changamoto ni kwa waandaaji wa taarifa mpya ambao sio IT guys, pili Tz bado inaukwasi mkubwa wa watalaam wa IT, kitu kinachopelekea wizara au ofisi kubwa tu kuwa na IT mmoja au wawili (fundi mchundo). Hali hii inasababisha IT mmoja afanye kila kitu, ambavyo haiwezekani. Kwa wenzetu ambao mambo yako safi ulaya etc, kila eneo la IT linamtu kiongozi na watenda kazi kama wawili, kila eneo NETWORK, WEBSITE, SERVER ADMINISTRATION, USER SUPPORT, PC MAINTANCE AND REPAIR, PROGRAMING, CLOUD COMPUTING ETC, Sasa hapa TZ ni mtu mmoja utajitahidi kufanya vyote lakni speed ya mabadiliko itakukamata.

  Tunahitaji kuangalia mfumo na kurekebisha namna ya ajira na chati za taasisi ili kutoa nafasi ya ajira pana kwa IT wetu
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hawa vijana wanaoajiriwa wapo chini ya vibabu a vibabu ndio hawataji mabadiliko
   
 8. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Juzi kati nilienda TRA kulipia Road licence pale Samora. Unajazia form TRA unaingia ndani CRDB halafu mtu anaenda kubeba zile deposit slips copies ndio anakuja nazo TRA amezibeba mkononi. Nikajiuliza maswali mengi sana wakati nimesimama kwenye mstari. Kwanza uhakika wa First in First Out hamna. Na huyo jamaa anayebeba mkononi btn CRDB na TRA lolote linaweza kutokea katikati kwa mtazamo wa RISK. Sasa nibaki najiuliza je wali explore options zote hadi wakafikia hapo?
   
 9. sam2000

  sam2000 JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  This disease is widely spread in almost all websites belonging to government agencies! Sometimes unashangaa inakuwaje mtu unalipwa kumaintain the web na hufanyi hivyo!
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Tanzania ajira maana yake ulaji.

  tena ukiajiliwa serikalini ndo unakuwa poyoyo kabisa, bora hata ukiajiriwa na kina Kitwanga au Wahindi
   
 11. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Ni sahihi wengi wetu tunaosoma IT hatuko competent.Elimu yetu ya kibongo asilimia kubwa ni theory ya kukariri na sio practical oriented
   
 12. Myelife

  Myelife Senior Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia ndani ucheze, nipo ngomani kwa muda lkn nashindwa kwenda na bit' sababu ni nyingi lkn ukweli ni huu

  1- website nyingi zinahostiwa nje ya kampuni na IT guy unaweza kufuatilia access right ya hiyo website tangu unaajiriwa mpaka unaacha kazi lkn usipate kisa asiye na rights anaogopa lkn hajui anaogopa nini,

  2- taarifa zote hutoka na kusainiwa na afisa habari lkn ktk serikali yetu maofisa habari hawana ila wapo kama utaratibu tu unavyotaka, kwani wakurugenzi hukaa na taarifa zote na wengine mpaka wastaafu au kuhamishwa ndio uzipate, angalia mfano wa Badra Masoudy wa Tanesco hajui hata current operation za Tanesco au vipaumbele vya tanesco halafu ndiyo apeleke taarifa IT office kwa Ajili ya online news,

  3- bado viongozi wetu hawataki kubadilika toka manual kwenda electronic info system. Na hapa ni elimu ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa jumla, angalia mfumo wa mahakama, file system ktk wizara na payment method ktk TRA,

  4- gharama za kuwekeza ktk Teknohama ni za juu mno, sasa hii hufanya wenye kuidhinisha malipo kuchenga kuwekeza ktk hili, lkn huchelea kufikiri faida zake, angalia jinsi CRDB walivyowekeza kwa gharama na faida wanayopata sasa, CITY bank wao wameenda mbali zaidi, unaweza kwenda bank kama unataka kupokea bulk cash tu otherwise unamaliza online, hapa suala ni kukubali gharama.

  5 competent ya It Guys ni finyu hasa walio ktk serikali huishia kuhesabu per diem tu na kuwaza wizi tu, kwani kila mtu huwaza kusaini AMC - annual maintenance cost na kula 10% yake lkn si kufanya evolution wala revolution.

  Mwisho. Vyuo vyetu si bora ktk kufua wataalam hawa na mengine mengi nisioyajua
   
 13. KML

  KML JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kweli kabisa hasa mawizarani nenda kaangalie hao ma IT wao yani sizani ata kama walisomea IT huu ujinga sijui utaisha lini??
   
 14. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Nadhani kazi ya kufanya update kwenye hizi site ni ya communications officers, IT atakuwa pale tu kuhakikisha ipo online pamoja na initial stage za design,
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa mkuu eti mtu akijua application za computer tu tayari wanamwita IT na wanampa kazi,huu undugunizetion utatufikisha pabaya sana.
   
 16. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mkuu uko sahih kabisa... Watu serekalini wamekaa kimdili tu na kuiba.
   
 17. L

  Lizsai Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna vitengo kama cha Communication au public relation office ndio wajibu wao kutoa taarifa za ku upload kwenye wabsite kama hakuna information we utaweka nini sasa ,I had been a webmaster na nilikua kila siku nagombana na communication officer kwani hamna information na website huwezi kuondoa kila kitu,halafu IT ni pana ila sasa kwa kutoelewa unakuta mtu wa IT ni mmoja halii kuna network section,user support,server admin na webmaster na etc
   
 18. Ndetirima

  Ndetirima JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Ku update Website information ni kazi ndogo sana na rahisi sana kwenye IT profession hata anayefanya kazi ya data entry akielekezwa anaweza kuwa anaifanya vizuri sana. Sidhani na siamini kama ni uzembe wa hao IT Officers, mimi nafikiri ni uzembe wa Serikali au Idara nzima ya utunzaji wa kumbukumbu kutokuwa makini na kutokwenda na wakati au kutokuona umuhimu wa kuwa na uptodate information wakati wote. Ila wapo pia IT Officers vilaza ambao kusema ukweli wanavyeti vizuri vya University lakini kazi hawajui kabisa vitu vidogo vidogo vinawashinda, hapo sasa sijui ajira ziangalie vyeti au watu wapewe kazi kwanza za kufanya?
   
 19. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  inanishangaza sana kuna baadhi ya wizara zimebadilishiwa mawaziri lakini hadi sasa hivi hazijaupdate information za mabadiliko hayo.
   
 20. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nchi yenyewe haipendi mabadiliko ije kuwa vijana wa IT wacha wale bila jasho
   
Loading...