jumuiya ya Afrika Mashariki yabariki mwingiliano wa kibiashara mipakani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jumuiya ya Afrika Mashariki yabariki mwingiliano wa kibiashara mipakani!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, May 8, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Mawaziri wa jumuiya ya afrika wameafikiana kuwepo na ruhusa ya wanaichi wa jumuiya hiyo waishio mipakani kufanya biashara ktk nchi yoyote kwa umbali usiozidi mita 30!

  Hii yaweza kuwa neema na hatari wa nchi husika ikiwa fursa hii itatumiwa kinyume na minajiri!

  Je watz tumejiandaaje kutumia fursa hii?
   
 2. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  We need borderless Africa. Oh me 30 km.
   
Loading...