Waliomchinja kama kuku mwenyekiti wa chadema Usa River hawa hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliomchinja kama kuku mwenyekiti wa chadema Usa River hawa hapa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arusha Leo, May 8, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polisi mkoani Arusha imewatia mbaroni wauaji watatu waliomuua kwa kumchinja mwenyekiti wa chadema kata ya Usa River wilayani Arumeru,Msafiri Mbwambo na tayari wamefikishwa mahakamani.

  Kamishna wa polisi nchini,Isaya Mngulu amewataja , 1.DAUD LEZILE MKUBA 2.MATHIAS NATHAN KURWA 3.SAID PHLORIN MKWELA.
   
 2. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Mungu mkubwa!!tuombe tu iwe ni wenyewe,isijekuwa ni wahanga wa mnada wa kesi unaoendeshwaga pale Arusha central police.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Polisi wa bongo bana! Sasa hawakutaja motive ya mauaji? Preliminary information iliyowafanya wawaone ni suspects ni nini?
   
 4. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  sina uhakika kua niwao kwakua polis wetu naobana sikuhizi siowakuamini sana isjekua hao vijana niwahanga wakubambikiwa kama niwao wapewe adhabu stahki iwe fundisho
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kama si wafuasi wa ccm basi watakua wamebambikiziwa kesi
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,542
  Trophy Points: 280
  Mtu ukishakufa ndo mwisho
  hata wakakamatwa waliokuua itasaidia nini?
   
 7. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,475
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Kwa vile mtendwa hayupo tena dunian ni ngumu kujua kama watuhumiwa ndo wenyewe au wametolewa kafara. Tunaweza tukawalaani hawa kumbe wauaji wako pembeni wanadunda.
   
 8. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tunashukuru kwa taarifa... RIP mwenyekiti wetu!
   
 9. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,201
  Likes Received: 527
  Trophy Points: 280
  Wengine wanaweza kamatwa lakini je? ni kweli ndiyo wahusika ? isijekuwa sawa na yale mauaji ya aliyekuwa Diwani wa CCM Kiwira-Mwenyekiti wa halmashauri ya Rungwe,ambaye baada tu ya kuuawa kwake walikamatwa watu 8,wengi wakiwa ni wapinzani wake wa kisiasa toka ndani ya CCM na vyama vingine, hata baada ya kumkamata muuaji halisi pamoja na silaha aliyotumia kumuulia huyo diwani na kukiri kwake kufanya mauaji ambaye mwenyewe alikiri kuwa ni kisasi kwa kutomlipa ujira wake wa kuua ALBINO na kutaka kumkamata kwa mauaji ya albino ili akwepe kulipa ujira mchafu huo,bado wapinzani wake wanaendelea kusota jela pamoja na muuaji halisi wa huyo Mtu. Hawa ndiyo polisi wetu namna wanavyochapa kazi na kukamata wauaji.
  Pressumption kwenye makosa ya mauaji ni mbaya sana kwani kwa muujibu wa sheria zilizopo ukituhumiwa utasota jela/rumande kwa kipindi kirefu sana hata kama ushahidi wa kimazingira haukuhusishi na mauaji hayo,ukisha tuhumiwa tu,imekula kwako. ni vema polisi wetu wajifunze kuweza kupeleleza na kupanta angalia link ya mbali ya mtuhumiwa na mauaji husika,swala la bifu na marehemu bila link yoyote siamini kama kweli linafaa kuchukuliwa kuwa ndiyo sababu ya mtu kusota rumande.
   
 10. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Daudi Nkumba na MathiasNathan ni Wenyeviti wa vitongoji kupitia CCM na mmoja (Saidi Mkwela) ni katibu wa chadema kata ya usa river....Naona huyu wa chadema wamemkamata kujaribu kubalance au alishirikiana na wanaccm kuua....
   
Loading...