Mambo ambayo zanzibar inadhulumiwa na tanganyika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ambayo zanzibar inadhulumiwa na tanganyika.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbaha, May 30, 2012.

 1. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakubwa naomba kujulishwa juu ya mambo ambayo Zanzibar inadhulumiwa na Tanganyika katika Muungano, kama yapo tafadhali.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  binafsi naona Watanganyika ndo tunadhulumiwa
   
 3. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Hakuna dhulma yoyote juu yao, nadhani wao wanafaidika zaidi juu ya huu Muungano.
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,450
  Likes Received: 5,840
  Trophy Points: 280
  Kukosa misaada inayoamabatana na udini
   
 5. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  kujiunga na ORGANIZESHENI YA ISLAMIK CANTRIES, kuna mijihela huko ila ndo ina attachment zake, hilo ndo kubwa la wanainyonya tu Tanganyika
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,450
  Likes Received: 5,840
  Trophy Points: 280
  Kupumzika JUMAAPILI badala ya IJUMAA
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,265
  Likes Received: 22,009
  Trophy Points: 280
  Huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni hatari kwetu wa bara. Unatumia rasilimali zetu, na nguvu kazi yetu.
  Tuwaache Wazanzibar na nchi yao, tudumishe Tanganyika yetu
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,450
  Likes Received: 5,840
  Trophy Points: 280
  Ewe mola tunakuomba,
  Uibariki nchi yetu,
  Tanganyika na jirani zetu,
  Eeeh Mola
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  Sasa hapa dhulma iko wapi?
   
 10. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  uwepo wa makanisa zanzibar.
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Wazanzibari ndio wanatudhulumu sisi maana hata umeme hawalipii ndio maana wana samehewa. Kwanza na shangaa kwa nini tusiwape zanzibar yao?
   
 12. t

  tongi JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hakuna dhuluma yoyote, kwa udogo wa Zanzibar kikundi kama uamsho kinatumiwa na watu wachache sana kwa ajili ya interest zao, Zanzibar ikijitoa kwenye Muungano, Raza ataendesha Airport, Bopar ndio ataimport chakula chote, Suma atapewa Bandari, ... yaani matajiri wasiozidi kumi wakishirikiana na mabwana zao wa umangani watadhibiti uchumi wote wa Zanzibar, waandamanaji hawajui lolote wamepewa tende tu,
   
Loading...