Makamba na kujichagua kuwa msemaji wa ukristu na uislam. Anajua anachofanya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba na kujichagua kuwa msemaji wa ukristu na uislam. Anajua anachofanya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nicholas, May 28, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Kwa muda wote makamba jr amekuwa akibainisha kuwa anaujua ukristu na Uislam ,pengine anaamini anazijua na dini zingine.Na hata ktk uzinduzi wa ktabu kagusia pia kuwa kuna maudhui ya dini .Maswali yanakuja?
  -Je anajua anchokifanya na madhara yake?Au anayo ajenda ya siri?

  -Anafahamu kuwa suala la authority ni muhimu sana.

  -Je anafahamu kuwa analolojaribu lifanya lingehitaji sana kupat amaoni ya wahusika ktk dini husika,Kwa level mbalimbali?

  -Je anafahamu tofauti zilizopo ktk Uislam, Ukristu , u Hindu etc ni kubwa sana kiasi cha kuzifanya dini zote kuwa tofauti, na hata kuchukiana sana duniani, kiasi cha kuwaleta ktk vita kila nafasi ikipatikana?

  Sidhani km huyu mzee kafanya homework yake vizuri.Nahis kajadiliana na watu aina ya waandishi wa habari, vijana wa mjini ambao wakihtaji vitu fulani kuhalalisha ndoa zao, maslahi yao kisiasa etcwancompromise vitu fulani in the name of peace, appeasement, fame, money etc.

  >>>>>>>>>>>>>>sijui ata reconcile vipi hizi habari kabla ya kujikuta pasipo>>>>>>>>>>>
  -Yesu ni mwana wa Mungu+ Munguau kinyume chake

  -Yesu alikufa ,kufufuka na kupaa au kinyume chake

  -Abrahamu alitaka mtoa Isaack kafara na si Ishamael AU kinyume chake.

  -Adamu,Abrahamu, Mosses,Yesu etc HAWAKUWA/WALIKUWA WAISLAM.

  -Kulitambua au kutotambua taifa ya Israel.

  -Biblia kuwa sahihi au kutokuwa sahihi.

  -Biblia na Quran kipi kipo sahihi ktk mambo yanayotofautiana.

  -Kati ya Muhamad na Yesu nani ni Nabii wa mwisho.

  -Ukristu na Uislam ni dini gani ya ukombozi kutoka utumwa kidunia.(Mzungu na Muarabu)(ingawa watu wanadhani Ukristu ni wa mzungu)

  -Dini gani itamfikisha mtu mbinguni?Ajue kuwa kuna mambo yanapingana na zote zinaamini kuna njia moja.Kwa hiyo asitegemee kuwa na jibu kuwa ni zote.

  Kuna mengine Mengi ila mzee ajue mara zote atajikuta akienda ktk mipaka ya kufuru kwa waumini wa pande hizi ktk maelezo yake.
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la hako kadingi huwakanakurupuka, kanadhani kanajua kili kitu.
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kapuuzi! Mpuuzeni mnafki
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kwa sababu alipokuwa anasoma chuo nchini Marekani alikuwa anakaa kwenye Monastery ya Mabrother, huko ndiko alikoona ukristo wanavyishi waeremita, lakini si kithibitisho kwamba anaujua ukristo.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sjakisoma kitabu chake kw hiyo siwezi kutoa maoni, ila naweza kusema alipokinadi kitabu chake nimemsikia akisema anaganga "njaa".

  Ni dhahiri si mtaalam bali kama alivyosema, ana "njaa".
   
 6. C

  COWARD Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  February kamtungia mistari then kampa msure akazindue,kisa na mkasa waende sawa na Mzee EDWIN MTEI.manyuzi anazeeka vibaya,yeye anadhani ya kwamba biblia unaisoma na kuielewe kama GAZETI LA UHURU.Ushauri wa bure kwake,wakristo wanao waandishi wenye vitabu kibao vizuri kupindukia na wala hawahitaji UTUMBO ULIOANDIKWA NA FISADI KAMA YEYE,ACHILIA MBALI MTU ASIYE IFAHAMU HATA CHEMBE DINI YA KIKRISTO
   
 7. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Mkuu nakushukuru sana kwa kuanzisha uzi huu,mimi nimemsikia jana na leo akizindua tuvitabu twake,kwa kweli sio mbaya mtu kujaribu kutunga,tatizo nililoona ni pale aliposema kuwa kakitabu kake ka rushwa kwa mujibu wa quran,biblia na suna za mtume kimepitishwa na wizara ili kitumike shule za msingi darasa la tano.Huu ni ufisadi mwingine wa hali ya juu na muendelezo wa kudidimiza elimu yetu na ku confuse watoto wetu:
  1.Nani anayepitisha hivi vitabu vinavyotumika shule za msingi,anashauriana na nani ?
  2.Vigezo gani vinavyotumika kupitisha vitabu hivi vya kipuuzi na kwa misingi gani?
  3.Kitabu chenye mchanganyiko wa mambo na nukuu za dini na nyingi zikiwa kutoka dini ya kiislamu ni sahii kutumika shuleni kufundishia?
  4.Je PCCB wameidhinisha kitabu hicho kuwa kinafaa kufundishia watoto?je wao PCCB hawawezi tunga cha kwao.
  5.Je primary kuna sylabus ya corruption ?
  6.Nani alihamua kitumike darasa la tano na vigezo ni vipi?kwa nini isiwe la sita au la saba au la pili.why STD five?
  7.Wakati anatunga kitabu hicho alikuwa na lengo kuwa kitumike mashuleni au ni afterthought?
  8.Fedha gani zitatumika kununua vitabu hivyo,au ni njia ya kutafuna CHENJI YA RADA?
  10.Tafadhali PCCB msisubiri kashfa,anzeni kufanya uchunguzi wa mchakato mzima uliotumika kupitisha kitabu cha Makamba na umuhimu wake kwani tunajua kuna CHENJI YA RADA watu wameanza kuilia timing kwa njia mbalimbali.Kwanini visinunuliwe vitabu vya sayansi vya ziada na kiada,vitabu vya hesabu na hata vitabu tulivyosoma zamani vilivyokuwa na mvuto na vilivyokuwa vina elimisha zaidi ambavyo sasa hivi vimepuuzwa mfano:Alfu lela u Lela,Sindbad,Bulicheka,Mashimo ya mfalme Solomon,Wagagagigikoko,Hekaya za Abunwasi,Sindbad BAHARIA,Zamani mpaka siku hizi etc,vinginevyo HELA YA CHENJI YA RADA ambayo nasikia imepangwa kununua vitabu itatafunwa na mafisadi kwa kununua vitabu visivyo na tija kama cha Makamba.Watanzania amkeni tunaibiwa mchana.
   
 8. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 180

  Mkuu mama yake mzazi ni mkristo, anaweza akawa ameujua kupitia kwa mama.
   
 9. p

  petrol JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  kwanza, ni vizuri kumpongeza mzee makamba kwa kuweza kuandika vitabu. Watanzania wengi hatuna ustaarabu huo. kwa nini, ni vigumu kujua. Tunao wasomi wengi tu wengine maprofesa lakini hata kijarida hawajawahi kuandika, labda thesis iliyompatia digrii ya uzamivu. Hata wanasiasa wetu ni vigumu kupata nukuu za mashiko kama alivyofanya Mwalimu Nyerere. Kwa sababu hizo nampongeza sana mzee wetu huyu hasa kwa kuwa hana PhDs kama walivyo wanasiasa wetu wengi kutoka ccm . Pili, siyo busara kuanza kumchambua kabla hatujasoma alichoandika. Tuwe na subira tukisha jua kasema nini ndio tuanza kukosoa. vinginevyo tunakuwa wapuuzi wa aina fulani. ukisikia tu makamba, ccm unaanza kupayuka. Hatuendi hivyo na hatutafika. kama siyo majungu basi ni wivu tu wa kufikiri.
   
 10. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  ndio, kuna thread imeshaletwa hapa. Ni muhimu hili suala litafutiwe njia ya dharura kulizuia maana hawa watu inaelekea wameamua kufanya unyang'anyi mchana kweupe. Mwenye cover page aiweke hapa tuione vizuri. Ama kweli, nchi imekwisha.

   
 11. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  lakini mkuu hicho kitabu inakuwaje kinapitishwa kwa ajili ya watoto wetu wakati hata watu wachache kati yetu hawajawahi kukisoma!? Hapa lazima kuna 'mchongo' wa kula pesa na ukichukulia kuwa Nyambari Nyangine ananyemelea pesa za uchapishaji. Uanze kusubiri wakati yeye kakipitisha kutumika mashuleni bila kusubiri? Ujinga kweli!

   
 12. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Hizi ndizo brainswash wanaanza.Km tulizopigwa enzi za ujamaa zikiwa zimehifadhiwa chini ya mashujaa wetu ambao ni controversial akina mkwawa, mirambo na wengine.(Mkwawa na hawa jamaa waliuza wenzao sana+wameharibu utamaduni wa wahehe sana kwani sasa wanavaa kam watwana wa enzi za ukoloni wa kiarabu) na vita nyingi alipigana na wamissionary na si wakoloni/capitalist/coloanilist.Il walioandika historia tunawajua.

  Napenda nikisome hiki kitabu muone jinsi gani alivyoweza kandamiza maandiko mengine na kusympathise tha upande mwingine.Something which is very dangerous kwa watoto na wadogo zetu ambao walistahili kuwa na misingi mingine kidini,kiutamaduni etc.

  Kuna vitu ambavyo ni very predictable kwa watu fulani.Makmaba haui Democracy isnt Very well accomodated in religion.Na ktk ulimwengu wa kiislam kuna debate ktk ya hadith/suna an Quran nini kipi ni authoritative km havitumiki kwa pamoja, na kama vitatumika kwa pamoja ni hadith gani za kutumiwa, kwani hadith nyingine ni scandulous.Chances ni huyu jamaa kuukandamiza Ukristu ili awe salama.Lakini pia km vile hajui ktk shule zetu kuna Sikh/Hindus/kuna pagani/ kuna freemasons/kuna pengine wanaofanana na atheist.Sasa sijui wao wasome shule gani?
   
 13. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Huyu mzee pia ukimwagalia vizuri hata dhehebu lake la uislam halikubaliki kwa wenye dini.?Ndio wamefanya CCM haijui km ni wajamaa au uchumi wa soko, sasa anataka na watoto na wadogo zetu wakajifunze elimu ngumu ya kua accomodate uislam ktk Ukristu, na wahindu na sikh etc hawana choise kwani wao ni makafiri kamili kwa hiyo hawana chaguo.
  Mzee kapa ufunuo wa ajabu km wa freemason, wa new world order
   
 14. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,215
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  kwan huyu mzee ana background ya uandishi?
  Isijekua anazeeka vibaya!!mbali na kutokua na uelewa na ukristo huo uislam anaujua?
  Hebu pia tuone kitabu hcho kimehaririwa na nani na nani kutoka pande gani na mwenye sifa gani katika lipi!
  Asije kutumwagia sumu tukashindwa kuonana hapa!
   
 15. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Hata km angekuwa ni mwandishi mzuri pia nia yakeingekuwa ktk question.Kwani mwandishi hutumia kalamu kupotosha watu.Na hapa nani atakuwa tayari mwanaye au mdogo wake apotoshwe?Kutokana na mawaswali yaliyoanzishwa ktk thread ni ngumu kuwa appease wote na akijaribu appease mmoja atakuwa amepotosha mwingine+tayari kaonyesha kuwa dini nyingine kaziacha.
   
 16. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Tatizo si kuandika ,tatizo ni in kaandika na mdhara yake.
   
 17. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Mama yake naye pia si mzuri wa Biblia kihivyo na inaelekea ndio maana baba yake akweza mshawishi aongezeke ktk list ya wake zake.Pia ajue kuna kuwa mkristu kwa imani na kuzaliwa, halafu baaday ekupat kiasi fualni cha mafunsisho kinachoweza mfanya aukubali ukristu bila kujua Biblia .Historia inaonyesha huyu jamaa kulelewa ktk mazingira ya kikristu.Ambayo si tofauti sana na Mtume(S.A.W) ambaye naye alikutana na wakrsitu wengi ktk biashara ndani ya bara Arabia, na baadaye kupewa hifadhi Ethiopia wakti huo likiwa taifa la Kikristu.Yote haya yalichangia uislam kuwa na vitu vya Kikristu na pengine ndio maelezo sahihi kwanini uislam una vipande vya ukristu ambavyo si sahihi,kwani vilielezwa na watu wengine.

  Mzee makamba anchukua the same route ila ni kwamba hataki tuu anzisha dini yakena this time atakuwa na vipande na Vya Quran ndani yake+uislam wake ambao haukubaliki na waislam kamili basi sijui n kitu gani kitapatikana.
  NADHANI MZEE AACHIE WANOPENDA SOMA BIBLIA NA QURAN WAKASOME WENYEWE NA WAPATE TAFSIRI YAO,KM WANATAKA ENDA DEEP WAWAONE THEOLOGIANS HUSIKA.

  Otherwise atangaze kuwa kaanzisha dini yake ya ONE WORLD RELIGION au ya NEW WORLD ORDER ambayo itakuja kwa jina la amani na kuunganisha watu wasiofafanana.
   
 18. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  -Hao jamaa wa wizara wanajua wanachofanya,,?kuna haja ya kuwa home school kama US. bila hivyo hawa walimu feki na wizara zanazooongozwa na waziri wasiojua ktk shule.Junks zinazopita zinaathiri kuanzia mtu binafsi, familia, kabila ,taifa na hata bara zima.Ni pogramming ya human personality.

  -Hii ni ishara tosha kuwa wazazi muanze nunu vitabu vya kutosha vinavyoelea tamaduni za kwenu, za nchi na historia iliyo sahihi km hakuna basi unahitaji kambi zote ila ,patahitaji mzania kujaribu elimisha watoto juu ya hizo controversy.
   
Loading...