Zanzibar: Baada ya Pengo kukaa kimya Maaskofu waamua kumvaa Sheni

Status
Not open for further replies.

zanzibar huru

JF-Expert Member
May 28, 2012
218
108
Pengo amekuwa sidelined baada ya kuonekana kuwa bado anasubiri draft ya tamko kutoka kwa bosi wake Vatican.
Sasa Maaskofu wengine wameamua kuachana naye na wamedemand kuonana na sheni ili wamsomee riot act.

Pengo badala ya kuonyesha kuwa yuko tayari kuwa pamoja na wakristo wengine regardless of their sect kaamua kunyamaza kimya na hii kwa kweli inasikitisha sana.

zaidi soma hapa:

Z
 
Ulitaka atoe tamko gani? Hakuna tamko zuri kama kukaa kimya na kumwachia mungu awafunze adabu mmoja baada ya mwingine! Nakuhakikishia haponi mtu katika hili!
 
Acha uchochezi mleta mada, Serikali ya ccm ndiyo kulaumiwa maana haya yanafanyika chini ya utawala wake. Cardinal Pengo anahusikaje au mnatafuta pakuanzia vurugu? Wenye uelewa mpana huwa wanaona mbali siyo we kama we usiyeona mbali kwa sababu unazojua mwenyewe.
 
Kardinal Pengo ana akili zake timamu. Kama ataongozwa na jazba lazima ataharibu mambo. Kwenye matatizo kama hayo, hekima ndio inatangulia mbele. Hakuna sababu ya kupigizana kelele na wendawazimu maana mwisho wa siku itakuwa ngumu kujua between them nani ndio mwendawazimu. After all, imani ya mtu iko kwanza ndani ya roho yake...kubomoa kanisa au msikiti, haina maana kutamfanya mtu asiwe na imani. Hatubadili imani kwa kupigwa mikwala au kwa mashinikizo...tunasukumwa na hiari yetu zaidi
 
Wewe ndio mpuuzi kabisa! Pengo anahusika vipi! Kwahiyo mmechoma makanisa ili Pengo atoe tamko!? Sikujua kama nchi yangu Tanganyika imeungana na watu wenye akili za namna hii!
 
Kanisa katoliki halikurupuki hata siku moja ndugu. Inasemekana ni moja ya taasisi zinazoongoza kwa umakini. Hatuhitaji matamko matupu ndugu.
 
Kasome upya ile memorundum of understanding mnayoipigikia kelele kila siku. nikukumbushe tu kuwa dhamira ya ile memorundum ni kuwa serikali itafidia mali na miundombinu ya kanisa zitakazo haribiwa na waislam. Hivyo basi, Muadhama hana haja ya kutoa tamko zaidi ya kupeleka bill serikalini.
 
Mwanzisha huu uzi unaakili za mbayuwayu sana.
Halafu napata wasiwasi na ID yako inaonekana umeianzisha kwa ajiri ya uchochezi tu??
Nimekuwa nakufuatilia tokea fujo hizi zinaanza wew uko bize sana na uchochezi wa kitoto.

Ngoja vijana wa kova wawa adabishe kwanza wakishindwa ndio tutaomba tamko la PENGO.
 
Pengo anaifahamu vizuri serikali kwamba wataitikia tu kisha hakuna kitakachofanyika, subiri uone
 
sasa hawa maaskofu wao wanaenda kinyume na pengo au?

Kwa kuchoma hayo makanisa mmemkaribisha Mungu apigane upande wetu...lengo mkidhani kuwa Pengo atachochea zaidi chuki limeshindikana kutimia...sasa tulieni tu muendeleze ushetani wa kufanyia vurugu wasio wa imani yenu na hakika km ilivyo usiku na mchana Mungu wa kweli anahesabu maovu yenu na yeye aliye hakimu wa haki atatoa hukumu stahili wa waliofanya haya...Km unasubiri ya Pengo basi endelea kusubiri kwani inaonyesha chuki ndani yakohaziwezi kuzuiwa....maaskofu wana uhuru wa kusemea majimbo yao yaliyoathirika....amani ya Mungu iwe nawe
 
sasa hawa maaskofu wao wanaenda kinyume na pengo au?

Zanzibar huru, Kikwete hajasema chochote hadharani, lakini waziri wa mambo ya ndani na IGP wametoa statement. Je, hapo tuseme Rais amekuwa sidelined?

Yote tisa, kumi, Mh Abood ndiye amekuwa mstari wa mbele kutoa msimamo (I believe) was SUK, Je, hapo rais Shein amekuwa sidelined?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom