Wafanyakazi toyota tanzania ltd wagoma

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
352
Wafanyakazi wa toyota branch la tanzania wamegoma, moja ya sababu ni mshahara mdogo sana waolipwa wafanyakazi wakitanzania. Huku wafanyakazi kutoka india na other experts, walikilipwa ma milion ya hela. Hii ni muendelezo wa wafanyakazi wakitanzania kuendelea kunyonywa ndani ya nchi.
 
Take employment as a learning avenue and not for money. Ninyi watanzania kama vichwa vyenu viko vizuri jufunzeni kazi mkaanzishe gereji zenu badala ya kulalalama
 
hilo ni tatizo sugu tanzania maana kuna sehemu nimeshawai kufanya kazi kuna muhindi mmoja akaondoka kwahiyo nafasi yake ikawa wazi walipokuja kumuajiri mtanzania kwenye ile nafasi alipewa robo ya mshahara aliokuwa anapata muhindi pia gari hakupewa wakati muhindi alikuwa nayo!! kazi ni kwako, peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees
 
Cha kushangaza hata watz wakienda kufanya kazi nje ya nchi(india) wanalipwa kidogo wao huku tunawapa mchele wa kufa mtu.
 
Wanatuuzia magar bei mbaya, serikali itumia hela nyingi kuwalipa hili kampuni. Kumbe wanawanyonya wafanyakazi wao(watanzania). Mbona wenyewe wanalipana vizur. Sijui kama toyota wajapan wanalijua hili?
 
haya yote yanatokana na sera mbovu za serikali yetu, hv kwani hapa kwetu ni kampuni gani za kigeni zinazolipa vizuri wazawa kuliko wageni? hamna hata moja yaani hata hizo za hapa hapa ni za kutafuta, serikali inabidi iweke sera elekezi kwenye hiyo ishu
 
Kwa bongo hapa kampuni inamlipa mfanyakazi wake sana sana 1.8m mwenye degree! Kwingine ndio hvyo 350----900k wengi wanafall hapo,wakija wahindi na wazungu wanalipwa hadi kuanzia usd3000---usd6000 pm
 
Wafanyakazi wa toyota branch la tanzania wamegoma, moja ya sababu ni mshahara mdogo sana waolipwa wafanyakazi wakitanzania. Huku wafanyakazi kutoka india na other experts, walikilipwa ma milion ya hela. Hii ni muendelezo wa wafanyakazi wakitanzania kuendelea kunyonywa ndani ya nchi.

Hapo kwenye red, hii sio branch ni kampuni inayojitegemea.
 
hilo ni tatizo sugu tanzania maana kuna sehemu nimeshawai kufanya kazi kuna muhindi mmoja akaondoka kwahiyo nafasi yake ikawa wazi walipokuja kumuajiri mtanzania kwenye ile nafasi alipewa robo ya mshahara aliokuwa anapata muhindi pia gari hakupewa wakati muhindi alikuwa nayo!! kazi ni kwako, peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees

Mkuu Bebrn,
Sina nia ya kuchochea mjadala au si nia yangu kama mtanzania mzalendo kuonekana kuwa ninaafiki na ninapendezwa na hali ya mambo inayotokea katika sehemu za kazi, hususan uendeshwaji wa MNCs, lakini napenda nitoe angalizo kidogo la jinsi wataalamu wanavyopanga viwango vya mishahara na marupurupu kwa wageni wanaofanya kazi Tanzania na vigezo vinavyoumika.Bahati mbaya ninaviandika kwa kiingereza kutokana na kupata ugumu wa kuviweka kwenye kiswahili;
1. Cost of Living ya ile nchi anayokwenda kufanya kazi, na mara nyingi huwa 49% ya mshahara ambao ungelipwa akiwa kwao
2. Quality of Life ambayo basis yake ni Basic salary, (17%)
3. Tax - (hapa inazungumziwa PAYE), hulipwa na mwajiri kutokana na utofauti wa viwango vya kodi kati ya HOME COUNTRY na HOST COUNTRY

Nawasilisha japo kwa masikitiko
 
Basi kwa style hii tutaendelea kuwa watumwa!! maana tunafanya kazi ila kulipwa analipwa mwingine, lakini je hakuna sheria ya kuwapa muda maalum wa kukaa hapa kwetu? na kama upo je ni nanianayehusika na hilo ili nimpelekee majina ya wahindi wanaoishi hapa kwetu kwa muda wa miaka kumi sasa katika proff ya finance na IT
 
hilo ni tatizo sugu tanzania maana kuna sehemu nimeshawai kufanya kazi kuna muhindi mmoja akaondoka kwahiyo nafasi yake ikawa wazi walipokuja kumuajiri mtanzania kwenye ile nafasi alipewa robo ya mshahara aliokuwa anapata muhindi pia gari hakupewa wakati muhindi alikuwa nayo!! kazi ni kwako, peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees

Kwenye soko la ajira na hasa sekta binafsi inapohusika, ni nguvu ya soko ndiyo inaamua malipo yaweje. Mnaweza tu kubishania kima cha chini kilichowekwa na Serikali. Nje ya hapo ni thamani ya mchango wako katika nafasi hiyo ndiyo inaamua. Kama ukitishia kuondoka na pengo lako likawa halizibiki kirahisi, bila shaka wenye ajira yao watalazimika kukumiminia mpunga wa haja uendelee kuwepo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom