Nape kama tambwe hizza

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Tofauti kati ya Nape na Hizza kisiasa ni kwamba Hizza alitoka CUF kwa mbwembwe na kuanza kuvishambulia vyama vya upinzani na kujumlishwa kwenye kitengo cha propaganda pale Lumumba wakati Nape amekulia CCM. Kinachomuweka Nape CCM ni ukatibu Mwenezi na posho na si kingine na siku si nyingi atamwaga katika nafasi hiyo. Nape anatumika na kusafisha njia za wenye chama na kundi la kwanza alilokwepo karibu nalo limeparaganyika. Hongera Mh.Zitto vigeugeu tumewaona, ile dhana ya kupambana na ufisadi ndani ya chama haina mashiko tena, kumbe ni walewale.

Kinachofuta ni nini? Kinachofuata ni Nape kuanza kufilisika kisiasa ndani ya miaka miwili ijayo baada ya kupiga debe kushindikana na kukosa jukwaa la kusimamia, vijana wenzake yalioshtuka kwamba chama kina wenyewe wameng'atuka, siku si nyingi Nape atakuwa kama Tambwe Hizza. Subiri utaona!
 
Back
Top Bottom