Kwa sasa Hakuna haja ya kuendelea na mchakato wa Vitambulisho vya Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa sasa Hakuna haja ya kuendelea na mchakato wa Vitambulisho vya Taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, May 30, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nasema hivi kwa haya yanayotokea huko visiwani zanzibar,,,,kwanza serikali imalize suala la muungano,,,,,maana wenzetu wamechachamaa na madai yao,,,endapo tutaendelea na zoez basi kuna uwezekano mkubwa wa kuaharibu pesa za bure,,,endapo muungano ikiamuliwa uvunjwe,hivo vitambulisho havitakuwa na maana,,,,hata mim nataman kitambulisho changu kiwe hivi....
  Name:Magomba Kibarabara
  Age:65 years
  Tribe:Ngunea
  Region:Morogoro
  Country:Tanganyika
  Nationality:Tanganyikan
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Nilidhani jina lako ni Bajabiri, kumbe siyo?
   
 3. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tuko wengi tunaotamani na kulilia vitambulisho vya kitaifa vya aina hiyo
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dhana mbaya,,,ndo maana nahofia kudhan jina lako ni power
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  yaani nautaka Utanganyika wangu,ila watakaonipatia ni WAPEMBA
   
Loading...