Namhurumia nape nnauye

Dangire

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
221
68
Alijitokeza kama mpambanaji asiyeshindwa. alivalia njuga 'vua gamba' ya ndani ya chama chake. amekuwa msemaji sana hata mzee makamba akamlaumu kuwa anakifanya ccm kama kampuni yake. havi karibuni alikaririwa na vyombo vya habari akiwa mkoani kagera kuwa; 'wanaotaka kukihama chama wahame, hatuwabembelezi'; '....hata kama nikibaki peke yangu, chama kitaendelea'; mara anazindua kampeni ya 'vua gamba, vua gwanda, vaa uzalendo'. yaani anaonekana kuwa ni mtu aliyekata tamaa.aliyechoka majukumu.asiyeona tumaini tena la chama chake cha magamba kushinda uchaguzi 2015 na hata chaguzi ndogo mbalimbali. ni kama aliyeachwa mpweke. jk na wote aliodhani wako nae wamemsusa. anatia huruma.anahitaji ushauri nasaha.pole nape.
 
Back
Top Bottom