ni pesa au dhahabu zinazopelekwa BOT,kwenye maroli yenye container? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni pesa au dhahabu zinazopelekwa BOT,kwenye maroli yenye container?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, May 29, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,336
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  jamani kuuliza sio vibaya,nimepita hii mitaa ya bank kuu ya tanzania(BOT)nikielekea ocean road,nimekuta njia imefungwa kuna polisi kama 30!wenye siraha,huku kuna malori kama 6 yenye makontena yanaingia BOT!na kwa kweli kama utatokea uvamizi hapa balaa yake sio ndogo,ndio maana ikabidi nibadilishe njia mapema,kwani hawachelewi kukwambia taarifa za kintelijensia zinakushuku wewe!!sasa zile ni pesa au dhahabu au nini?na mbona malori yenyewe yamechoka choka sana?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,212
  Trophy Points: 280
  Acha tu mkuu nchi inaliwa we jikaliage pembeni mwaya wasije wakakutoa kafara!
   
 3. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  hayo yamepita hata hapa dodoma midahii ya saa 9 yapo mawili na ving'ora kwa wingi sana,inaelekea yanatokea somewhere kanda ya ziwa!
   
 4. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  hata hapo dodoma mjini wamepita sasa hv!itakuwa ni madini
   
 5. cement

  cement JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 586
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pesa hz mkuu!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,212
  Trophy Points: 280
  Yuko wapi msemaji wa BOT aka Mwigulu na nape?
   
 7. cement

  cement JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 586
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka cku moja wanajeshi walikuwa wanatoka kuchukua noti zao walivyofika ubungo kukata kuelekea sam nujoma likachomoka sanduku moja la noti aisee kilichotokea ni balaa la ajabu zilipigwa risasi hewani nyingi tu watu wakakimbia pakawa peupe ghafla wakachukua hela zao wakaondoka kama kweenye video vile!
   
 8. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,374
  Likes Received: 1,204
  Trophy Points: 280
  ni pesa zinatoka mikoani, hio inaitwa precious cargo na ulinzi wake unakua km wa kijeshi
   
 9. Gulaya

  Gulaya JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 658
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  mkuu zile ni hela na zinakua zinatoka airport,kuna ndege ambazo zinazileta kutoka mikoani then yale malori chakavu ndo yanazipeleka BOT.
   
 10. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,812
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  ni mzigo wangu nimeutunza kwa benno ndulu nitauchukua weekend, msiogope wazawa wenzangu, benki kuu ni yetu wote
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Nini kama si raha? taabu?
   
Loading...