Yanayoikuta kenya sasa yataikuta tanganyika endapo zanzibar itajitenga

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
9,395
8,855
miongoni mwa sababu zinazotajwa sana kupelekea mwalimu kuwa na wazo la kuunganisha tanganyika na zanzibar ni pamoja na suala la usalama, ilionekana kuwa zanzibar ingetumbukia kirahisi ktk siasa kali hivyo kuhatarisha usalama wa tanganyika. Suala hili limejionyesha wazi hata leo kutokana na uchomaji makanisa unaoendelea zanzibar. Mimi binafsi nilikuwa ni miongoni mwa watanganyika waliokuwa mstari wa mbele kukubali kuwa muungano uvunjike, lakini kama great thinker nikaenda hatua moja mbele(extra mile) na kuona kuwa zanzibar ikijitenga haitakuwa kisiwa cha amani tena bali KISIWA CHA MAGAIDI watakaokuwa wanajificha chini ya mwavuli wa uislam kama al shabab wanavyojificha pamoja na magaidi wote kote duniani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom