Nape ni kiongozi shujaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape ni kiongozi shujaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmanga mswahili, May 30, 2012.

 1. m

  mmanga mswahili Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ND. NAPE
  tukiachia mbali ushabiki wa kisiasa ambao mtu humvutia na kumjaza masifa kiongozi wa chama chake.
  mimi si mfuasi wa chama chako bwana NAPE ila nimeku anikikufuatilia harakati zako tofauti na mchango wako katika chama mukiwa nynyi ndio mlieshika dola.
  hivi karibuni ulikua nadhiara ya kikazi katika mambo ya vijana maeneo ambayo kumetokea mazishi ya baba wa swhiba wa baba yako mzazi.
  mengi yalizushiwa na vijana wanaoutumia mtandao wa JF mengi walikutupia halka dhalika waandishi walivyokufanya katyika makala zao bila ya kutaka ridhaa yako au kuthibitisha hoja zao kwako na mengi mengineyo wengine wamethubutu kukashifu hata elimu yako.

  kwa nini nikasema wewe ni kiongozi shujaa?
  sababu kila memba JF aliekua ankutupia tuhuma na kashfa, wewe ulitumia busara na kutoa maelekezo
  sababu wale waandishi waliozusha juu ya ziara yako uliwasamehe na kuju kuwa hawfahamu nini walitendalo
  sababu hukuchua hasira kwa vijana ambao walisema wazi wazi kuwa wao ni CDM na tuhuma zao walizozitoa wewe ulikua ni mvumilivu zaidi.
  mwisho kabisa hoja unazozitoa ni zenye mantiki ulizozihakiki na inathibitisha wazi uwezo wako wa akili.
  hongera sana NAPE endelea vizuri na shughuli zako mungu atakupa kila la kheri na uwezo wa kuwatambua wabaya wako ili uendelee kuwasamehe na kuwaelimisha pia kukiimarisha chama chako. na mimi nikitimia umri wa kuwa mwanachama nitashawishika kujiunga ijapo kuwa sasa namawazo ya cdm
  ahsante
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Siku hizi na wewe hupo kwenye payroll ya nape ya buku mbili mbili? Nape labda shujaa wa makaratasi.
   
 3. m

  mmanga mswahili Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio mana sisi vijana tuambiwa tuna jazba unasema makaratsi.
  kuwa adabu huyu ni kiongozi na unatakiwa umtendee haki kutofautiana itikadi sio kumtovokea mwenzako refer political tolerence in orriented na mutapoteza wanachama kama hii ndio behaviour yenu katika chama chenu na watu watakudharaulini kuweni makini na huyo anaekufadhilini kuitumia jamii furum kwa kubeza juhudi za serekali na viongozi wa chama mimi si mwanasiasa ila napenda maendeleo.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Vijana ndio wanaoleta ukombozi,vijana wa sasa wa dotcom ni tofauti na wale wa mwaka 47,siku hz ukigugo tu nape anakuja huyo hata ukiwa umelala unapata info zake zote,sasa hauwezi kutuamamsisha tuamini kwamba nape ni kiongozi shujaaa,labda shujaa wa makaratasi.
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mashujaa wapo Lindi na mtwara bana...huwezi kula na majambazi ukapokea mshahara wao ukawa kiongozi ukatetea na kulinda sera zao then ukawa bado shujaa...Kuna walakini hapo...
   
 6. m

  mmanga mswahili Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sisi tunazungumza vitu vinavyoonekana wewe unatakiwa unipe udhaifu wa nape na sio kutovitu visivyo na ushahidi wowote acha kukurupuka badonasema nape ni shujaa mpaka uniweshe kwanini si shujaaa.
  ufadhili wa chama cha fujo t,bara usikufanye uitumie vibaya JF.
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Siyo bure, naona unatafuta uchumba kwa Nape wewe
   
 8. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wewe na nani?? Nadhani jibu la Power hapo juu linakutosha.....

  Tatizo la macho yako yanaona yanachopenda kuona ndio maana nilokuambia huyaoni bali wewe kwako kila kitu ni Nape tu...Amepandisha dau la post nini?? bado anatoa buku 2??

  .... Sawa MMANGA MSWAHILI jina ni Advert ya kutosha ukizingatia Nape bado yuko Single jitahidi ......
   
 9. m

  mmanga mswahili Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio nikakwambia vijana tumekosa busara busara sisi tunazungumzia hoja za kujenga nchi yetu kwa kuwahakiki viongozi wetu vipi nyi mnanitukana katika faragha yangu na kama na mnanihusisha na mambo ya kimapenzi
  bado ufadhili ni tatizo ila kama hamjanipa hoja madhubuti nitaendelea kumuona nape ni shujaa kama ntakavyotrayarisha makala wiki ijayo zidi ya zitokabwe. Kutoa matusi sio hoja power kuwa makini na nini unawambia vijana wenzako wewe ni mtu wa busara kabisa na mwenye heshima kulikoni. Mimi si mfuasi wa chama cha siasa.
   
 10. a

  andrews JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NA UWEZEKANO MKUBWA CCM IKAWA CHANZO CHA KUCHOMWA MAKANISA ILI KUWAGAWA WATANZANIA,WALIANZA KWA KUWAPAKA MATOPE CUF BAADA YA KUUNGANA NAO WAKAHAMIA CHADEMA ETI UDINI WAKASHINDWA SASA UKASKAZINI NINA WASIWASI KUNA MKONO WA CCM:israel:
   
 11. m

  mmanga mswahili Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiv sisi hatufanyii kazi waswasi wakopengine huna akili au ubongo wako ni mbovu ndio mana unapata wasiwasi sisi tunakavitu vya uhakika. Think in advance before writer to public lete hoja
   
 12. m

  mmanga mswahili Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  power unaonaje ukampa mama ako ili mh:nape apate mtumzima wa kumpa busara zaidi na mawazo ya kukiendeleza chama chake? Na nchi yetu kwa ujumla.
   
Loading...