Wasiasa: Dumisheni Uzalendo na Heshima kwa WaTanzania kwa kusema ukweli.

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Uzalendo wa kweli ni kusema ukweli regardless: Imekuwa kawaida sasa watu kupindisha mambo ili ku-favor upande wao (vyama vyao)... Tunaomba uzalendo wasiasa please, msitupeleke kusikotakiwa kwa ku-take advantage of our ignorance.
 
Tangu lini mwan siasa akasema ukweli?

Ndio tunajaribu kuwaasa especially kwa yale ambayo yamepita... yes.. wanaweza kuahidi uongo... iwe wananchi wenyewe waangalie... lakini yaliyopita ambayo huwa ni facts... they need to stand to the truth... waache kutudharau sisi wa Bububu kwa kuwa hatujasoma.
 
Back
Top Bottom