CHADEMa iwe na ujasiri wa ODM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMa iwe na ujasiri wa ODM!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Axe, Jun 1, 2012.

 1. A

  Axe Senior Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  kwa kifupi lazima shibuda afukuzwe ili Chama kipate ushindi.hii ni kama ODM ya Kenya walipomfukuza Najib Balala uanachama kwa kulisaliti chama na mwenyekiti Raila Odinga aliposema,(tunacheza mechi Kama team kushambulia team pinzani, lakini Najib Balala alikua anarudisha mpira kwenye lango letu). Na hii ina apply the same kwa shibuda, maana yake timu pinzani inamchezaji kwenye timu yetu yaani 12-10 lazima Tupigwe BAO tusipo mtoa huyu mamluki!
   
 2. s

  sverige JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  kwahiyo
   
 3. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Shibuda afukuzwe. Ni mamluki wa magamba.
   
 4. s

  salisalum JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hapana asifukuzwe, alelewe vizuri tu atajifunza. Maprofesa wamejaa CDM wanashindwa kumfundisha form four?
   
 5. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hakuna hoja hapa, style za chadema huwa tofauti na wanazofikiria magamba, hufanya vitu tofauti sana na ambayo magamba huyategemea wayafanye, na hapo huiacha mitego ya magamba iteguke yenyewe na kuwararua, nilikuwa na mashaka na maamuzi ya kumkaushia shibuda lakini sasa ndio nimekubali kuwa ni lichama makini hili
   
Loading...