Mkitangaza Serikali Ya Kiislam Zanzibar, Mtateketezwa !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkitangaza Serikali Ya Kiislam Zanzibar, Mtateketezwa !!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bull, May 31, 2012.

 1. B

  Bull JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madai yenu ya kuukataa muungano yanauzito na nimadai yanayo sikilizika na kufanikiwa kama mtatumia busara na hekima Zifuatazo:

  Islamic State of Zanzibar: Mtakuwa mmejichimbia makaburi pindi mtakapo tangaza kujitenga kwa ajili ya kusimamisha Dola la Kiislam Zanzibar, mjifunze kutoka nchi nyingi za kkislam zilivyo nz zinavyo tengenezewa kesi na propaganda kwa ajili ya kuziangamiza nchi hizo pamoja na wananchi wake. Naamini kabisa kuwa kwa sababu wazanzibar 95% ni waislam mnao uwezo wa kuendesha nchi yenu kufuatana na mila na dasturi za tamaduni zenu

  Amani: si busara kutumia fujo na kuharibu mali za watu, mtakapofanya hivyo mtahusishwa na vikundi vingine vinavyoitwa vya Ki-Gaidi, hii itawapa nafasi kubwa maadui zenu kutumia slaa zao kali na kuwahilikisha watoto pamoja na jamii yenu, kama vile inavyotokea hivi sasa Mashariki ya kati na duniani kote.

  Umoja (IKHLAS): Muache kubaguana na kuwabagua wenzenu Tanzania bara kwani wengi mmesha change damu na ni ndugu zenu au wanaimani na nyie na mnawezapata mchango mkubwa toka Bara kama hamtaonyesha ubaguzi

  Mkizingatia ushauri huu . mtafanikiwa kujitawala na kuendesha nchi yenu mtakavyo hadi kufikia kuwa Nchi ya Kiislam (Mkikubalika na Wengi) bila kumwaga damu
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lakini mimi huwa najiulizi mmeoana na mmekaa na mwenzi wako karibu miaka 50 inafika hatua mmoja anasema amekuchoka na anataka talaka yake. Anaona unagoma hatimae anaanzisha vurugu ndani ya nyumba hadi anafikia hatua ya kuchoma mabanda ya kufugia Kuku. Hivi kuna haja ya kulazimisha hiyo ndoa? Eti kisa mmeishi miaka mingi na kuchangia damu iliyozaa watoto wangi! Ebo! Nadhani ni wakati umefika tuseme Muungano sasa unatosha! Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake. Tusiogope, Tanganyika na Zanzibar bila Muungano vinawezekana.

  TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
  tumbiri@jamiiforums.com
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,054
  Trophy Points: 280
  Muungano na Zanzibar haua maslah kwa Watanganyika, let it die
   
 4. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 255
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Acha kuwatisha wazenji wewe!. wakitangaza nchi yao kuwa ya kiislam, Watateketezwa na nani?. Waache wapate nafasi ya kuwa na maakama ya khadhi, kwani wamechoshwa na kudanganywa na serekali tawala. Asilimia 99 ya wazenji ni waislam hivyo wanayo haki ya kusikilizwa. Mimi Nisichokipenda kwao ni hii tabia ya kuchoma makanisa na ubaguzi waliyonayo japo nadhani hali hii imesababishwa na wanasiasa na viongozi wa serekali.
   
 5. B

  Bull JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu, Hapana siwatishi wazenji bali nawap sera na strategy itakayowawezesha kufanikisha kusimamia nchi bila kupigwa mabomu na maadui wa Allah
   
 6. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 737
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hapo umesema.
   
Loading...