HECHE na SILINDE sijapenda hii kwenye fcbk wall zenu" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HECHE na SILINDE sijapenda hii kwenye fcbk wall zenu"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AdvocateFi, May 31, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mimi kama mwanacdm halisi ni lazima niwe mkweli hasa pale napoona kuna kitu kama hakiendi sawa.
  Jamani kwa mtazamo wangu (self opinion) sijafurahishwa na hizi picha kwenye fcbk wall ya Heche na Silinde kwani zinaashiria uhanasa fulani ambao kila siku tumekuwa tukimlaumu na kumponda will malecela kwa kuweka picha za mabinti walovaa nusu uchi kwenye blog yake kwan zinatoa taswira mbaya kwa mtu ambaye anayetaka kuwa kiongozi.

  Ni mtazamo tu, toa na wako tudadafue.
   

  Attached Files:

 2. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Shida ni picha tu? Mbona ziko poa?
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwani Shilinde kamshambulia Malecela au kaweka kwenye wallpaper yake ili watu watoe comment zao?

  Kiukweli Malecela hana jipya.
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Shida iko kwako, elewa kuwa kuna internet hackers ambao wanapost kwenye walls. Hata hivyo mbona na picha za kawaida tu?
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Jamani tuacheni kumiliki Wabunge wetu; Wana Uhuru wao sasa hivi huu Ulimwengu wa Information Super Highway

  Tumekuwa karibu sana na Wabunge wetu; Shukrani kwa Technology; Lakini tusifanye hii iwe ndio Pango la kuwanyima

  Raha Wabunge wetu sasa na kuwakosoa kila kitu unapoona kwenye site zao; nadhani wana haki na sioni kama hizo

  Picha zina tatizo hata kidogo. Tumekuwa Wamiliki wa Wabunge wetu Sasa kwasababu ya Technology. Je, Akijiondoa

  Utalalamika?
   
 6. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Achana na Mambo binafsi ya watu... Fanya kilichokupeleka facebook
   
 7. S

  SANING'O LOSHILU Senior Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kaka hawa jamaa kuna haja gani ya kutuwekea picha za kakahaba wao wakati hii nichi ina vitu vingi vya kujadili? Au na nyie mmeshaishiwa mawazo mapema hivi?
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hiki ndio kilinifanya nifunge fb account yangu,kunawakati watu wanakuwekea mipicha ya kutiana aibu,watu wengne wanazani wewe ndio umeweka,nadhani ndio kilichotokea kwa Heche na mwenzie
   
 9. m

  mahoza JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 1,241
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  Sioni kama zina tatiizo. Hiyo kaptula au gauni lisilo na mikono?
   
 10. Z

  Ziege liebe Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  honestly we ulieattach izo picha jipange, coz hazina tatizo lolote,
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Halafu inakuwaje unakopi picha za watu facebook na kuziweka hapa?
  Kama wenye picha wakilazimisha JF ku-reveal identity yako, uko tayari kuwalipa fidia?
   
 12. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  unaufahamu uchi wewe au unabweka tu? kwanza waombe radhi kwa kunakili picha za watu bila ridhaa yao na kuziweka hapa. ungeikuta ya mkeo au mama yako ipo kule ingeiweka hapa? tena ukome kabisa tabia yako hiyo.
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  pia kuna tabia ya watu ku'tag picha,
   
 14. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna tatizo............sijaona cha ajabu
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Watanzania bana, personally naona hata mtu mwenye account ya fcb hayuko serious, because hothing substantial there than blah blah and wastage of time, call me conservative,,,call me what!

  lakini kama mme-endorse fcb? si ni ya mtu binafsi?? yeye sio ndio anaamua kipi kizuri na kipi kibaya?? what if kibaya kwako kizuri kwake?? ndiyo hasara hizo za fbk.......pengine watu wenyewe wana wake zao!!! wake zao wanaona poa tu...mtu mwingine anaona nouma!!

  I dont advocate the unethical photos etc, lakini naona teknolojia hizi tunakurupuka nazo sana........ na zinadumaza ubongo
   
 16. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hiyo ya Silinde sijui, ila hiyo ya Heche ni mtu amemtag !
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  sioni ubaya mbona wamevaa tu vizuri
  kwa sasa ndio kabisa wanatembea uchi kwa vile ni summer
  inategema anatufikishai ujumbe gani. hata hivo facebook ni private life
  kwani ukiwa mwanasiasa ni dahmbi kuwa na private life au private and social communication?
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Siku hizi kuna ma-hackers wengi sana na pia kuna ku-tag picha.
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,288
  Likes Received: 19,438
  Trophy Points: 280
  wewe utakuwa na pepo la ngono..mbona picha ziko poa..wewe utakuwa hauna exposure..safiri safiri ndugu yangu ...hao wamezaa kawaida tu
   
 20. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Jamani wanjamvi sio ugomvi zas y nilisema t woz jst my own opinion, but angalizo kwa viongozi wote wa CDM wanatakiwa wajijue kwamba wao ni public figure wa nchi na ndio tunawatazama wao kwenye ukombozi huu wa 2, so ni vyema wakatumia vyema hii mitandao kwani wenyewe si kama watu wa kawaida kama sisi hapa, maana mdudu ccm hutumia udhaifu mdogo tu kuwapaka matope viongozi wetu.
  MUNGU IBARIKI CHADEMA.
   
Loading...