Jumuiya Ya Uamsho kuwataja waliohusika kuchoma Makanisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jumuiya Ya Uamsho kuwataja waliohusika kuchoma Makanisa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by silent lion, Jun 1, 2012.

 1. s

  silent lion JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 537
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Amiri wao Farid Hadi ametoa tamko hili mbele ya vyombo vya habari leo. Amesema Uislam unapinga vitendo vya chuki dhidi ya dini zengine. Hivyo watawaja wote waliohusika na uhuni ule.

  Source: Channel Ten
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,197
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Kumbe anawafahamu? Na kama anawafahamu ni lazima iwe alikuwa na mafungamano nao na kwa sasa anaamua kijitoa wakati ndie aliyewaamsha na kuwavuvia hiyo hamasa ya chuki. Hawezi kamwe kukwepa kuwa mmoja wao. Period!!
  .
   
 3. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mwongo tu huyu mbona kaonekana kama Maalim Seif, ni wapinzani wa serikali ya mapinduzi Zanzibar (SMZ) wanataka kurudisha maisha ya Zanzibar kabla ya mapinduzi ya 1964! Walijaribu kupitia kuukataa Muungano wakati wa Abdul Jumbe ikashindikana kwa sababu akina Mwakanjuki wa TISS walikuwa wanafanya 'monitoring' kiaina aina
   
 4. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,724
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Huyo kamanda ameona ili kunusurika ni kuwataja waliokuwa 'wanafunzi' wake. huyo mtu ni msaada mkubwa sana kwa polisi, pia ajue; kama serikali ikimkomalia, hatoki. "Mchungaji natapigwa na kondoo watatawanyika". awataje haraka ili kuzaima hiyo 'Al Shaabab'
   
Loading...