Maige umekuwa mfuasi wa Shibuda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maige umekuwa mfuasi wa Shibuda?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Noti mpya tz, Jun 1, 2012.

 1. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anachofanya Maige ccm hakina tofauti na anachofanya Shibuda cdm, tofaut yao ni kuwa Maige kaponzwa na utendaji wake na kusukumwa nje na mfumo wa makundi ya urais 2015 ndani ya ccm, wenye akili tunasubiri maziko yao kisiasa.
   
 2. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  maige mfa maji,shibuda mwana mume
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Maige mdogo wangu, mbona hakuyasema haya angali bado Waziri? Kunyang'anywa tonge imekuwa nongwa? Hebu fikiria mtoto mlafi katika familia, anapenda sana kulilia vya wenzake wakati vya kwake anakuwa mkali kama Mbogo. Maige anata tofauti gani na mtoto huyu. Alitaka afilisi maliasili, mali ya Watanzania wote, wakati kaguswa tu kewenye bangaloo lake la mil. 700 ameruka kimanga na kudai ni majungu. Hakika huu ni uroho na tamaa ya pesa. Anatakiwa aige mfano wenzake waliwajibishwa pamoja na kutambua kuwa hawakututendea haki.
   
 4. Jodeny

  Jodeny JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani huyu jamaa ni mfano wa watu wasioridhika. Kabla ya kupewa unaibu hakuna aliyekuwa akimfahamu, lakini sasa ametemwa imekuwa nongwa na anataka kuuaminisha umma kwamba, yeye ndiyo alistahili kuwepo kwenye nafasi hiyo na si wengine. Mbona waliotoka na yeye akaingia hawakupiga kelele kama anavyofanya.
   
 5. m

  mamajack JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mwacheni aseme maana uovu ukiongeza uchungu lazima kimija kitoke,maige sema mwaya,sema yote,mie ntakusikiliza,sema na yale ya wizi wa wenzako yote,najua wako wengi,hebu sema usije kuwa kafara kwa mafisadi wenzako,sema sema sema,maige,
   
 6. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maige usikubali kufa peke yako, wateje na wale ulioiba nao na ambao wamebaki. Tunataka kuwajua wezi wetu wote wa rasilimali za nchi yetu. Siye watetea haki za wanyama tumeomba serekali ikupige marufuku kupitia barabara yoyote inayopita ndani ya mbuga za wanyama au kuitembelea. Tunawapenda wanyama wetu.
   
 7. M

  Mkono wa Tembo Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maige anapaswa kukaa kimya ama maumvi, msabaha na kala maharage alivyofanya wakati uleeee!. Lakini hebu mnijuze kwanza sheria inasemaje kuhusu "mauzo" ya wanyama hai. Je ni prohibited ama kuna mahala kuna upenyo katika sheria zetu na hasa tukizungumzia mauzo ya Tembo, Chui, Faru, twiga, Simba yaani wale wanaojulikana kama big five.
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kwa Maige Uwaziri Mtamu bado kinamuuma Unajua Madaraka hayana adabu
   
 9. s

  schwester Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kWELI ndg. nngu007. Maige anagutuka sasa hivi kama wakuu wa wilaya na viongozi wengine wa halmashauri hawafanyi kazi. Alikuwa wapi alipokuwa Maliasili ndiyo ulikuwa wakati muafaka. Halafu leo anamuonea NAPE kumwambia HAFAI. Analamikia alipoanguka baada ya kutazama alipojikwaa. WAJIBIKA kaka cheo ni dhamana. USILAUMU JUA MBAAZI KUKOSA MAUA. Wewe KUFA na yako na NAPE AFE na yake.
   
Loading...