Tbc=ccm & itv=100%

Apr 29, 2012
81
4
Wana Jf kwanza kabisa naomba kukiri wazi kuwa sikuwa vizuri katika somo la hesabu enzi zangu shuleni,lakini namshukuru mungu kwamba hesabu za maisha ya kiafrika naziweza vizuri tu.Kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikiangalia Siasa yetu na vyombo vyetu vya habari,ghafla nikaona kichwa changu kina anza kufanya mahesabu ambayo sikuyategemea yaje kwa wakati huu,Hesabu yenyewe ni hii...TBC ni shirika la Umma lakini limekuwa likizipa nafasi zaidi habari za kisiasa za CCM,na kidogo tu kwa vyama vya upinzani hasa CDM!Lakini vyombo vingine vya habari vimekuwa vikijitahidi kutangaza habari kwa usawa na uwazi zaidi,Hebu angalia kwa mfano:TIDO MHANDO + MCHAKATO MAJIMBONI=KUFUKUZWA KAZI GHAFLA...Je!nani awe wa kwanza kunyoosha kidole?Haya tuliache hilo,Hivi leo pale jangwani ilikuwa TBC+CDM? Jibu ni HAPANA,ila ITV+CDM=PEOPLE'S POWER(DEMOCRACY).Bado sifahamu kama CDM ni chama cha umma kwa sababu hakitagazwi na shirika la umma...AMEN.
 
ni kweli hesaba haujui kabisa maana title yako ya kihesabu na maelezo uliyoandika hayaendani kabisa!!
 
Hivi leo pale jangwani ilikuwa TBC+CDM? Jibu ni HAPANA,ila ITV+CDM=PEOPLE'S POWER(DEMOCRACY.

Nipo Lushoto M4C tumeipata vizuri via ITV, nimefurahi sana na ukweli ndo huu...
 
Wana Jf kwanza kabisa naomba kukiri wazi kuwa sikuwa vizuri katika somo la hesabu enzi zangu shuleni,lakini namshukuru mungu kwamba hesabu za maisha ya kiafrika naziweza vizuri tu.Kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikiangalia Siasa yetu na vyombo vyetu vya habari,ghafla nikaona kichwa changu kina anza kufanya mahesabu ambayo sikuyategemea yaje kwa wakati huu,Hesabu yenyewe ni hii...TBC ni shirika la Umma lakini limekuwa likizipa nafasi zaidi habari za kisiasa za CCM,na kidogo tu kwa vyama vya upinzani hasa CDM!Lakini vyombo vingine vya habari vimekuwa vikijitahidi kutangaza habari kwa usawa na uwazi zaidi,Hebu angalia kwa mfano:TIDO MHANDO + MCHAKATO MAJIMBONI=KUFUKUZWA KAZI GHAFLA...Je!nani awe wa kwanza kunyoosha kidole?Haya tuliache hilo,Hivi leo pale jangwani ilikuwa TBC+CDM? Jibu ni HAPANA,ila ITV+CDM=PEOPLE'S POWER(DEMOCRACY).Bado sifahamu kama CDM ni chama cha umma kwa sababu hakitagazwi na shirika la umma...AMEN.

Mkuu huyo niliye m-bold naona kama vile tunampatia status asiyoistahili. Tido ni Gamba, tena Gamba gumu sana, asiyekubaliana nami basi atakuwa hajafanya utafiti. TBC under TIDO haikuwa fair kabisa, japo jamaa alijitahidi kuonesha kuwa si biased. Ukiacha mchakato majimboni ambao alianzisha programme bila kushauriana na kina Makamba kitu ambacho kilimfanya atimuliwe, kwani baada ya CCM kukataza wagombea wake kushiriki isingeingia akili kwa kipindi kufutwa kwa sababu tu CCM imejitoa, hapo ingeonekana kuwa TBC inaendeshwa na CCM japo ndicho ambacho watu wenye small thinking capacity ndani ya CCM walitaka kitokee na hakikutokea.

Ukiangalia kinachoendelea kwenye Gazeti la Mwananchi ndani ya wiki mbili tatu zilizopita utaona kuwa Tido kama Mkurugenzi wa mwananchi (T) Ltd, ameanza kuionesha CCM kuwa ni mwenzao kwa kuendelea kuandika habari za kipuuzi kuhusu matamko ya mbunge mmoja wa CDM na kuyajengea mlima kuwa ni crisis. Kwa wiki hii moja nimepoteza imani kabisa na gazeti la mwananchi na tunapoelekea 2015 ni dhahili TIDO atakuwa ndani ya mfuko wa mgombea fulani wa CCM ambaye atamrudisha TBC au hata kumpatia nafasi muhimu kwenye serikali yake kama atashinda 2015.

TIDO aliondolewa TBC kimkakati kwani kuna kundi la watu ndani ya CCM wanadhani kuwa alikuwa hafuati matakwa yao, ila ni ukweli usiopingika kuwa TBC haikuwahi wala haijawahi kuwa fair katika kutangaza siasa za vyama visivyo CCM. Tofauti na sasa ambapo aliyepo amejisahau sana, Tido alikuwa strategic kwenye hilo.
 
Wana Jf kwanza kabisa naomba kukiri wazi kuwa sikuwa vizuri katika somo la hesabu enzi zangu shuleni,lakini namshukuru mungu kwamba hesabu za maisha ya kiafrika naziweza vizuri tu.Kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikiangalia Siasa yetu na vyombo vyetu vya habari,ghafla nikaona kichwa changu kina anza kufanya mahesabu ambayo sikuyategemea yaje kwa wakati huu,Hesabu yenyewe ni hii...TBC ni shirika la Umma lakini limekuwa likizipa nafasi zaidi habari za kisiasa za CCM,na kidogo tu kwa vyama vya upinzani hasa CDM!Lakini vyombo vingine vya habari vimekuwa vikijitahidi kutangaza habari kwa usawa na uwazi zaidi,Hebu angalia kwa mfano:TIDO MHANDO + MCHAKATO MAJIMBONI=KUFUKUZWA KAZI GHAFLA...Je!nani awe wa kwanza kunyoosha kidole?Haya tuliache hilo,Hivi leo pale jangwani ilikuwa TBC+CDM? Jibu ni HAPANA,ila ITV+CDM=PEOPLE'S POWER(DEMOCRACY).Bado sifahamu kama CDM ni chama cha umma kwa sababu hakitagazwi na shirika la umma...AMEN.

Yaani we ni KILAZA sana,
Wewe ni mbumbumbu,
wewe ni zezeta,
Siasa hujui na kuchagua hujui,
Ulivyo jinga hujui HESABU mpaka hata Kiswahili cha kuandika, sasa wewe unajua nini?
Kama wewe utakuwa mchaga basi utakuwa na MENO MEKUNDU.
 
Nilidhani wenye fikra finyu za ukabila ni shibuda pekee! Kumbe mpo wengi. Slaa,zito,shibuda na.........kumbe nao hawa ni wachaga?
 
Wanaobisha TBC NI ccm ni wajinga wa kufikiri sababu kama wenyewe si CCM wangeturushia speech ya chadema pale uwanja mpya wa M4C kwa binafsi naona wangenirushia ile speech uwanja wa M4C INGECROSS My maind kwamba tbc ni ya umma sabu umma kama ule uliokuwepo pale uwanja wa M4C NI HATARI ATAKAEBISHA hiki ni ccm asubiri mwa huu 2015 NTATANTIKA FIMBO WANACCM ACHA 2 NAISHIA APA.
 
Yaani we ni KILAZA sana,
Wewe ni mbumbumbu,
wewe ni zezeta,
Siasa hujui na kuchagua hujui,
Ulivyo jinga hujui HESABU mpaka hata Kiswahili cha kuandika, sasa wewe unajua nini?
Kama wewe utakuwa mchaga basi utakuwa na MENO MEKUNDU.

Hayo yote uliyomtukana mleta thread hii nayarudisha kwako mjinga mkubwa wewe.
 
Back
Top Bottom