Katibu wa CCM Iringa mjini ndani ya Ebony FM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu wa CCM Iringa mjini ndani ya Ebony FM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WISTON MWINUKA, May 31, 2012.

 1. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Katibu wa ccm Iringa mjini Mr.Luciano Mbosa,yupo studio za Ebony fm akizungumza mambo mbalimbali yahusuyo chama na matarajio yao kwa uchaguzi mkuu ujao.Pia amewataja CDM kuwa chanzo cha vurugu za kisiasa zilizotokea maeneo ya Nduli,ambapo watu kadhaa walijeruhiwa katika tukio hilo.
   
 2. d

  deecharity JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  yani hata anavyoongea anaonyesha wazi akil zake znamgawanyko au mpasuko kama chama chake.
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  suala nduli kesi ipo mahakamani, yeye analiongelea kama nani?
   
 4. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe ulitaka aseme CCM ndiyo chanzo cha vurugu kule Nduli?
   
 5. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Akamatwe kwa kuidharau Mahakama.Anazungumzia suala lililo Mhakamani tayari.Fasta!
   
 6. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hajui atendalo
   
 7. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gamba in action! Hakuna news hapo
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Fanya mchezo na ajira ya mtu anatetea chakula chake hapo.Lakini anajua roho yake ipo wapi.
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,771
  Trophy Points: 280
  Ccm hawamalizi siku bila kuitaja chadema
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Wanaipenda sana CHADEMA
   
 11. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hivi huyo Mbosa ndiye yule alikuwa anafanya biashara ya pembe za ndovu miaka 90s?
   
 12. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Ahhhh nilidhani "KATIBU WA CCM IRINGA MJINI NDANI LUPANGO" eti kumbe redioni!
   
 13. w

  wade kibadu Senior Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilimsikiliza beatiful sana UYO KATIBU ASIYE SOMA ALAMA ZA NYAKATI ANGESOMA ALAMA ZA NYAKATI INGEMHELP bt hana jipya sabu yeye anazani wanairinga mabwiga kama yeye kwa hali hii ya sasa mtu mzima unaonekana unakelea ccm unasikikitisha sana sana na ata kama umesoma utaonekana mbumbumbu wa kutupwa.
  Msaada wa bule kila mmoja ajaribu kusoma alama za nyakati.sababu sasa ni wakati wa democrasia na maendeleo ndio maana watu wa sasa wanafunguka katika chama cha democrasia na maendeleo.
  PEOPLE TAKE ON MAWAZO YENU KWAMBA NYERERE ALIKUWA NA MISION YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA .
  Na SISI TUNAFUNGUKA NA DEMOCRASIA NA MAENDELEO SASA UYO KATIBU WA CCM NAZAN ANAMATATIZO YA KUTOSOMA ALAMA ZA NYAKATI.
  Nimetililika sana na2maini kwamba nimeneneka vzr 2?
   
Loading...