William M. tupe report | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

William M. tupe report

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, May 26, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,467
  Trophy Points: 280
  Williama Malechela ulisema kuwa leo utahudhuria Mkutano wa chadema jangwani .. Mkome nyani kwa kutumegea yaliyojiri....
  Pamoja sana!!
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kibwa jinga
   
 4. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Le
  Mutus alikuwa saloon, anaweka "TATTOOS" unajua yeye baharia bwana
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,467
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  "Ha! Ha! Ha! Heshima kwa mbele Leo nilichat na rafiki yangu Mbowe tumeongea mengi sana ni mtu mzuri sana Ngoja tukamkome nyani". Hayo sio Maneno yangu yatakuwa ya W.J Malecela akiingia kwenye thread hii
   
 8. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Hapana mkuu nilishindwa kwenda kumeb nilikuwa nimeji-committ siku nyingi kuhudhuria sherehe za fundraising za vijana wa YUNA, kule Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama so nilikwenda huko kuongea na vijana kuhusu my life na wageni wengi waliokuwepo pia, tulikuwa na Mike Mushi pia kutoka hapa JF so tuliwakilisha powa sana, lakini Bro wa Mh. Mbowe alinipigia sana maana tulikwua twende wote ila sikuweza maana after that nilikuwa ninawahi harusi ya mtoto wa Mh. Sumaye, Karimjee so sikuweza kufika!

  - Vipi yaliyojiri huko nasikia walijaa sana watoto wa shule? au?

  William.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,467
  Trophy Points: 280
  Willie pamoja sana umesomeka...
  Unamaanisha watoto wa shule hawaruhusiwi kupiga kura? Kumbuka university students wengi hadi 2015 wote watakuwa na miaka zaidi ya 18 a huge potential.
   
 10. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Swali hili umelijibu kistaarbu kweli; kumbe huwa unaweza kufanya hivyo lakini huwa unaamua kuvaa gamba tu.
   
 11. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  nimeshangaa leo hajaweka ile mi Ha Ha Ha Ha anayoiwekaga hata kwenye thread za misiba na majanga ya kitaifa...
   
 12. S

  STIDE JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mchumia tumbo tu huyo!!!
   
 13. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,672
  Likes Received: 17,728
  Trophy Points: 280
  View attachment 54724

  Sasa usijifanye hujui maumivu ya M4C,
   
 14. a

  andrews JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NILIHAWAAMBIA HILI JAMAA HALINA TOFAUTI NA BABAKE HALINA MVUTO LIMENENEPEANA KWA KULA NA LIKIPATA UJUMBE WA NEC ITABIDI MTUMIE FOLKLIFT KULIBEBA HALINA JIPYA LIMECHACHA,MAMBO YA NILIKUWA HARUSINI KWA MTOTO WA SUMAYE ANAMTISHA NANI KABEBE BOX MJOMBA KWISHEY:der:
   
 15. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #15
  May 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Ha! ha! ha! ha! unajua kila ukiandika huwa unanivunja mbaavu sana maana kwenye post zako nyingi huwa unaionyesha inferior yako wazi wazi, kumbe unazimia na mambo Sumaye mpaka umeyamind na kuyasema1 ha! ha! ha? niliweka mtego makusudi sana great thinker umeupanda! ha! ha!

  William.
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  naogopa sana ku comment post za huyu W.J.MALECELA ...maana ni mkubwa humu...ila kwa kifupi mawazo na akili zake ni tofauti na ukubwa wa mwili wake...
   
 17. a

  andrews JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  HUNA TOFAUTI NA NAPE UNAPOTEZA MUDA MWINGI KATIKA JAMII FORUM BADALA YA KWENDA BAHI UKAWAFARIJI VIJANA WA KIGOGO WAKUPENDEKEZE B4 2014.TANZANIA YA LEO HAWACHAGUI MTU ETI SABABU ALIKUWAMVUVI WA SAMAKI(BAHARIA)SIASA YA LEO HAITAKI KUJITAFUTIA UMAARUFU INATAKIWA UWE NA UCHUNGU NA WATU NA SIO SIFA BINAFSI:lock1:
   
 18. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  unakuwa kama unamkosea adabu mtoto wa Chigwiyemisi wewe!
  Ungesema tu hana upeo!
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,467
  Trophy Points: 280
  Jmani msiwe mna mu attack mtu personaly ...nitapitisha panga sasa hivi
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  JF never boring quoting the Boss
  Malechela namzimia kwa majibu yake hana hasira
  huyu ni potential ya Chadema msiwe na wasiwasi atakuja muda sio mrefu
  huyu ndie atakae mtoa Lusinde kule Mtera.
  atakuwa kama Paulo alikuwa muuaji wa kanisa lakini akaja kuwa mwalimu wa kanisa.
  hatuna haja ya kumtolea lugha chafu manake kila dalili inaonyesha rohoni ni chadema usoni CCM
   
Loading...