Sisi tunatumia CHADEMA wao wanatumia DINI.......

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Ndugu zetu WAZANZIBARI ipokeeni "peaples power" kama kifaa cha kupambana na sera msizopendezwa nazo huko visiwani,kwani hamuoni sie wabara tunavozidi kufanikiwa kuinyoosha serikali?
Najua mmeamua kutumia uislamu kutokana na chama mlichokuwa mnakitegemea (CUF),kimeolewa na hakina nguvu tena. Namna hiyo mnaudhalilisha uislam sabb uislam ni dini safi inayoubiri upendo,amani na kueshim dini nyingine.Hebu angalia sasa mnahubiri siasa kwa kutumia mgöngo wa dini ,hii ni kwasabb hamna chama cha siasa imara cha kuwatetea kama ilivyo CHADEMA!
Siku zote haifai kuchanganya siasa na dini!
 
Mkuu usivute attention za watu kwa title zisizo na mantiki
 
Samahani sana mods,niliandika bila kubadilisha title ya zamani naomba mnisaidie kuedit.andika sisi tunatumia CHADEMA wao wanatumia DINI
 
siku elewi. wataweka title unayo itaka halafu thread itiwe kapuni. kwanini unaendekeza udini bana? hawa wazanzibar wanatakiwa kupewa ushauri nasaha.
 
siku elewi. wataweka title unayo itaka halafu thread itiwe kapuni. kwanini unaendekeza udini bana? hawa wazanzibar wanatakiwa kupewa ushauri nasaha.

anaweza kuweka title anayoipenda but sioni tatizo lake, kikubwa hiyo ni hali halisi na text yangu ina busara
 
hao ndio wazanzibari.. Wakifeli mitihani wanasingiziabaraza la mitihani
 
Back
Top Bottom