Dk Shein hatambelei JamiiForums?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Dk shein hatembelei mtandao huu?
Kama angalikuwa anatembela binafsi naamini angaliamrsiha polisi wapige risasi za moto
watu walikouwa wakifanya fujo na kuchoma makanisa. Zaidi ya watu 100 wanaglienda na maji na sasa tukaaza kumlaumu kwa hatua aliochukua. Wachangiaji wengi waliingia jazba, hamasa na hasira kila wanaposikia kanisa limeunguzwa
jee hatembelei mtandao jf?
 
Mbona hoja yako haieleweki? Nakushauri jipange na uje jamvini na hoja za maana! Kichwa cha habari kinavutia lakini" contents" hamna kitu...
 
Ukitembelea JF ndipo utakapojua kuwa CHADEMA ni taasisi ya KANISA!
 
mhhh hivi unasema kweli au unatania?Yule mzee hata kwa kumuangalia tu unadhani anajua kushika mouse !!! au mnamtaka maneno mzee wa watu...khaaaa
 
Anasoma sana JF, kwani kuna asilojua? makanisa yameanza kuchomwa kabla hata yeye hajawa Rais wa ZNZ. Ambalo wengi hatujui ni kwamba kwenye suala la muungano Wazanzibari bila kujali Upemba, Uunguja ama vyama vyao huwa ni wamoja. Narudia kwenye muungano ni wamoja hamna CUF wala Nyinyiem. Watanganyika angalieni uwezekano wa kuchukua koti lenu, Wazanzibari limewabana, wanalivua sasa! Kuachwa...kuachwa.... kuachwa ni shughuli pevu.....
 
umenifurahisha kwa hiyo viongozi wa Tz wanafanya maamuzi kutegemea upepo wa jf.
 
mhhh hivi unasema kweli au unatania?Yule mzee hata kwa kumuangalia tu unadhani anajua kushika mouse !!! au mnamtaka maneno mzee wa watu...khaaaa

Kigogo Tafadhali mkuu ni kweli?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom