Taifa letu miaka 29 ijayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa letu miaka 29 ijayo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jun 4, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,168
  Trophy Points: 280
  POmbe inayouzika zaidi mitaani ni viroba. Hicho ndio kilevi cha fastafasta kwa vijana wenye hali mbovu ya uchumi kutokana na uhaba wa ajira.
  vijana wa leo wengi wao ni wavuta bange, wala unga na wavuta sigara.
  CCM inasema vijana ni taifa la kesho, lakini sioni CCM wala chama kingine chochote cha siasa ikifanya jitihada yoyote kubadilisha hali ya vijana hawa.
  Hebu tujiulize, miaka ishirini ijayo tutakuwa na taifa gani?
   
 2. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  baada ya miaka 29 mbele raisi atakuwa ****** na basha wake atakuwa waziri mkuu,nakuachia mwenyewe uangalie hali itakuwa vipi!
   
 3. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  watakaoikuta hata 2020 wachache sana miongoni mwetu kutokana na ugumu wa maisha na mastress kibao
   
Loading...