Luku, Tanesco, Luku!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Luku, Tanesco, Luku!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Officer2009, Jun 3, 2012.

 1. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Jamani, tangu jana saa kumi jioni nilinunua luku token kupitia m-pesa na pesa ikakatwa. Sikupata token ila ujumbe toka kwa wakala wa Tanesco kuwa nitapata token baada ya muda mfupi. Cha ajabu ni kuwa hadi hivi sasa sijapata token. Nimeshajaribu kupiga customer care vodacom, wao wanasema tatizo liko Tanesco. Nimejaribu kununua luku kupitia NMB na Tigo ila zote zimegoma. Nimeenda hadi Marangu kujaribu kununua kupitia mashine ya Selcom, ila bado ni negative. Mbona Tanesco wanatutesa sisi wateja wao? Kama walijua hawajajipanga mbona wali introduce this bloody cumbersome luku service?
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  wapo weekend mkuu,utaipta kesho,ishantokea mara moja hivi niliipata jumatatu,epuka kununua weekend mkuu...
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hii ndio tanzania!
   
 4. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,696
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Kaka pole..nafikiri tatizo liko Tanesco coz hata mimi nimejaribu tangu jana noana hamna service.. So Tanesco they should work on it..
   
 5. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,895
  Trophy Points: 280
  Daah, home nimeacha meter inasoma unit 1, nimerelax huku ofisini nikijua nitanunua muda wowote kwa m-pesa au tigo-pesa, kumbe kuna tatizo? Na jinsi lifriji langu linavyokula umeme, bila shaka hiyo unit moja imeshakwisha
   
 6. cement

  cement JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamani me nimeshachoka maana hali mbaya kwa kweli Tanesco wamechemsha!nimenunua Voda nimejibiwa kuna tatizo la Kiufundi luku tafadhari jaribu tena baadae ss shida hii inatupata c. Wateja wenu maana yake nn!
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,119
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Tanesco ni janga la kimataifa.
   
 8. aye

  aye JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  toka jana hamna luku wala nini sio tanesco vendors,mpesa tigopesa maxmalipo wala selcom. Temporary out of service sjui kunani taanesco huko
   
 9. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mi ni siku ya nne tangu ninunu luku kwa njia ya mpesa. Wamekula pesa lakini hakuna majibu kutoka tanesco. Kwa nini hawaweki wazi matatizo yao kwa wateja. **** u badra masoud, **** u tanesco, **** u all staffs.
   
 10. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  MkimbizwaMbio, ndo kusema na mimi nisahau pesa iliyokatwa kwenye m-pesa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  MkimbizwaMbio, ndo kusema na mimi nisahau pesa iliyokatwa kwenye m-pesa? Tufanyeje ili pesa zetu zirudi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...