Wabunge na Rushwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge na Rushwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lindongo, Jun 4, 2012.

 1. L

  Lindongo Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimesikia toka jana kupitia ITV, Mh: Kafulia akieleza kuwa mbunge amabye ni mjumbe wa kamati ya LAAC kakamatwa na Rushwa. habari inaeleza kuwa rushwa kupewa na watumishi wa serikali kwenye hotel ya Peakcock. Hata hivyo sijaweza kufahamu jina la mbunge huyu aliyekamatwa na rushwa hiyo. Kafulila kasema yupo tayari kujiuzulu ujumbe wa kamati hiyo iwapo Spika hatavunja kamati hiyo, kwaninimekosa uhalali wa kukagua mahesabu ya serikali za mitaa. kamati imekosa uhalalikwa kuwa baadhi ya wajumbe wanajihusisha na rushwa toka kwa watumishi wa LGA. Hivi tunaelekea wapi jamani? kweli kuna utawala bora tena kwa mazingira kama haya?
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu soma magazeti ya leo, ingia kwa Michuzi na Mjengwa blogs kote habari hiyo imeenea na picha za mhusika ziko huko. Infact hatua kali zinahitaji kuchukuliwa na mbunge huyu hafai tena kuendelea kuwa mbunge.
   
Loading...