Swali la kizushi: Intelijensia haijafanya kazi Zanzibar?

Status
Not open for further replies.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Kitendo cha kamanda Kova kuzuia maandamano ya chadema jana,kwa kisingizio cha kutokuwa na askari wa kutosha kulinda raia na malizao,na kuwapa mashabiki wa timu ya mpira wa miguu simba kibali cha kuzurura mitaani na kombe masaa machache tu baada ya mkutano wa chadema kwisha,hii ni dharau ya hali ya juu.

Tunahitaji kauli kutoka kwa viongozi wa chadema kwani dharau hii haivumiliki hata kidogo.
 
Excellent observation! Yale yanayohusiana na tija KUU ya taifa hatuyapi kipaumbele sahihi, matokeo taifa linaendeshwa kimzogamzoga. Mungu ibariki Tanzania chini ya M4C
 
Kova hajifunzi na yaliyotokea Zambia? 2015 aibu itamfikia atakimbilia kijijini
 
Tatizo la swala la ulinzi sio askari wa kawaida. Ni hao wanaoitwa makamanda! Kuna siku watavuliwa magamba. Only time will tell!
 
Hawa akina aroo tatizo lao wapo kama yule mnyama tunayemfuga nyumbani kwa ajili ya usalama wakiambiwa shika wanashika hata kama ni anayewalisha kwenye swala la akili za kuambiwa huwa hawachanganyi na zakwao
 
Mbona CCM huwa anawapa askari wakutosha kukiwa na maandamano why uwe tu Chadema, Kova endelea kufanya hivyo subiria 2015 utaona mwenyewe. Nadhani umeshasahau kwamba kila kitu kina mwanzo na mwisho ndo maana unafanya hivyo
 
Ni swali tu manake intelijensia naona inafanya kazi sana kweney maandamano
 
Intelijensia ziko bara yaheeee,na Arusha tu,sio huku kwetu yahee.
 
Ajiandae kwa 2015 maana M4C ipo Dar hata amini mkoa mzima wabunge ni wa cdm wananchi wameamka.
 
TISS zenji! unachekesha weye!

subiri duplicate ya Libya, Masri na Syria
 
Huwa wanasema ukiruhusu CDM kuandamana, itakuwa vurugu, kwn wanaweza tokea wafuasi wa CCM kupinga maandamano, ikawa fujo.
Wanasahau kwa kuiruhusu Simba kuandamana, kungeweza kutokea wana Yanga, wakafanya vurugu!
Double standards!
 
Tanzania tuna inteligensia au tuna wa2 wanaotumia inteligensia ya masaburi?
 
Kazi kweli kweli intelijensia ipo bara tu na kwa baadhi ya vyama vya siasa si uamsho wa zanzibar!
 
Duh..imekaa vibaya.Sijui CCM watafanya nini ktk hili n amengine mengi yanayokuja?
 
unastaajabu ya musa?? kova a.k.a kona anasubiri akistaafu akagombee ubinge kupitia ccm umemsahau tibaigana???
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom