Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1.hivi asiye na dini apaswi kuwa kiongozi? 2.je katiba inasemaje juu ya mahusiano kati ya dini na utawala?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naibu Amiri wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Azzan Khalid Hamdan amewasili leo katika uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Oman. Sheikh Azzan ni miongoni mwa...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Ule mpango wa "kilimo kwanza"pembejeo baadae,utimizaj wake unaendelea ukiwa na kasolo kibao.Wakulima wengi wapo vijijin na sio kila wilaya ina ofisi za "JKT".Wanawasaidiaje ikiwa matrekta yote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika taarifa ya habari (ITV) Changamoto mbalimbali zimetolewa kuhusu ugawaji wa vitalu vya uwindaji. Swali langu wana JF. Hivi umuhimu wa kugawa vitalu ni nini? Serikali inapata nini hasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi ndivyo vifaa vinavyotumika kutengeneza bomu, mbolea ya chumvi, dongo, utambi na kibati. Mwandishi Wetu JUMAMOSI iliyopita katika safu hii ya Mada ya Jumamosi, tulieleza kwa kina jinsi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Maelfu ya raia wa Misri wameandamana kupinga hukumu ya aliyekua rais wa misri bwana Hosni Mubaraka,raia hao wamesema wanapinga hukumu hiyo kwa kudai kuwa ni ndogo,wangependa kusikia anahukumiwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
The 'new AIDS of the Americas': Experts warn of deadly insect-borne disease that can cause victims' hearts to explodeA little-known life-threatening illness caused by blood sucking insects has...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
makame silima 30/05/2012 kwa 8:08 um · Ingia kujibu Zanzibar imekuwa na waumini wa kikristo tokea enzi ya Sultani na tunaishi nao kama ndugu lakini wamekuja Maskofu kutoka Tanganyika wanaotaka...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Nimewakuta baadhi ya waislam wakiapa kuwa lazima waiingize!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa na yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mapato ya mfuko wa taifa wa bima ya afya. Swali langu la msingi "Ni kiasi gani mfuko wa taifa wa bima ya afya hupata kutoka katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mjadala hapa dw redio(swahili service) juu ya ukabila nchini tanzania,,,,wapo wanaosema kwa sasa upo,,,na sababu ni ubinafsi ndo maana baadhi ya ofisi unawakuta watu wa kabila fulani ndo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naongea hili nikiwa ni mtanzania ninaeshuhudia yanayotokea kwa wanafunzi wa mwenge university tawi la st agustine moshi.wanafunzi wa chuo hiki wamemaliza mtiani wao wa UE na hawajapata pesa yao ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila siku tuna lalamika kuhusu ajali barabarani, na sumatra wanakuwa wanajitetea eti ni mwendo kasi wa dreva. Huo ni uongo mkubwa. Vifo vya barabani hasa vinavyo sababishwa na magari makubwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakili maarufu nchini,Median Mwale ameibwaga serikali kwa mara nyingine na kutakiwa kukabidhiwa magari yake ya kifahari yanayoshikiliwa katika ofisi za TRA jijini Arusha. Hukumu hiyo nimetolewa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mapumziko ndio yako ukingoni, umejiandaaje na shughuli zako kesho mwanzo wa wiki? Je katika mipangilio yako ya mwaka huu umefikia hata nusu? Sababu leo hii tuko katikati ya mwaka,pamebakia miezi 5...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Wakuu, Kuna hili liliwahi Kusemwa hebu tulijadili kwa kutukumbusha wajibu wetu na Mstakabali wa Tanganyika: "Katika nchi yetu, ambayo Waafrika ni maskini na wageni ni matajiri, kuna uwezekano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Toa maoni yako kwenye huu uzi kuhusu chochote ambacho ungependa kiwepo au kisiwepo kwenye katiba mpya ili tutakapokutana na Tume tutoe maoni yanayofananafanana.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila mtu aweza kuwa na mapungufu katika maisha yake. na vilevile kila mtu aweza kukumbukwa kwa moja au mawili, katika kipindi cha utumishi wake. Katika wakuu wa kaya wa awamu zote, Mkuu wa kaya wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DHAMIRA IPI * ALIYONAYO ? “MZEE NKOSWE” * * * TAMANI KUMFAHAMU MZEE NKOSWE………. * * 1. SUMBAWANGA NA HARAKATI ZA SIASA -Sumbawanga ni miongoni mwa wilaya Kongwe ndani ya Taifa hili lenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunawapa wazazi wakati mgumu sana kutazama/kusikiliza hili tangazo wakiwa na watoto wao.. Binafsi hili tangazo linalorushwa ITV na redio hasa RFA halina maadili, kuna ulazima gani wa kurusha...
16 Reactions
80 Replies
11K Views
Back
Top Bottom