Masulupwete JF-Expert Member Feb 15, 2012 2,366 2,397 Jun 4, 2012 #1 Mara zote anapoonekana huyo bibi anakuwa na huyo jamaa pembeni. Hivi huyo jamaa ni nani, mumewe, msaidizi au nani?
Mara zote anapoonekana huyo bibi anakuwa na huyo jamaa pembeni. Hivi huyo jamaa ni nani, mumewe, msaidizi au nani?
S silent lion JF-Expert Member Feb 28, 2012 1,161 1,535 Jun 4, 2012 #2 Ni mumewe yule, anaitwa Prince Philips au Duke of Edinburg
Masulupwete JF-Expert Member Feb 15, 2012 2,366 2,397 Jun 4, 2012 Thread starter #4 Safari_ni_Safari said: MUMEWE Click to expand... Kwa hiyo na yy anatafuna pesa ya walipa kodi wa UK (incl. wenzetu wanaopiga box huko)?
Safari_ni_Safari said: MUMEWE Click to expand... Kwa hiyo na yy anatafuna pesa ya walipa kodi wa UK (incl. wenzetu wanaopiga box huko)?