Je tanzania bara kuna udini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je tanzania bara kuna udini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Comi, Jun 3, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Jana nimeangalia taarifa ya habari startv pakawa na habari kuwa waislam wameanza kuchambua katiba ya sasa ili kujiandaa kwa katiba mpya. Kuna mjumbe mmoja akawa anahojiwa yeye akawa anasema jumamosi na jumapili zilitengwa mapumziko kwa ajili ya dini fulani sasa wao hawajapendezewa nayo wanataka mabadiliko ya siku hizo,je kimantiki jumamosi ni kwa ajili ya dini fulani tu?kwani uarabuni(madina na makah) hawapumziki jumamosi na jumapili?
   
 2. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mapumziko huko ni Ijumaa tu. Kuhusu udini bara,hilo liko wazi kuwa upo udini wakutisha japo viongozi wanakana lakini ukweli nikua udini upo katika kila sekta unayoijua.
   
 3. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Unaweza kuniambia ni sekta ipi ambayo imekaa kidini zaidi?
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Udini upo na engineer wake ni Kikwete!.Nenda NSSF, UDOM...
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  hakuna udini isipokuwa kuna dini tu
   
 6. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Okey kwa hiyo kikwete ni muasisi wa dini ya kiislam maana yeye ni mwislam kama ni hivyo iweje wafuasi wake walalamikie ukristo?
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Board of external trade, bot, ocean road hospital, uchukuzi...
   
 8. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Unanifanya nishangae kama nyerere alivyoshangaa baada ya kuambia amewaika wakatoliki wengi kwenye uongozi wake lakini ulipopita uchunguzi ikaonekana wako wakatoliki 4 tu
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu, mimi naishi Madinna. Mapumziko huku ni Alhamis na Ijumaa tu. Jmosi na Jpili ni siku za kawaida za kazi. Kwa sababu ya umuhimu wa mawasiliano na nchi nyingine za dunia, mataifa mengi ya kiarabu isipokuwa Saudia yameanza utaratibu wa kupumzika Ijumaa na Jmosi.
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndo maana siku zote nasema hawa jamaa ni wakurupukaji na wamekuwa siyo watu wa kufikiria kabla ya kutenda nawashauri wazingatie elimu zaidi ndiyo itakayowakomboa kutoka kwenye huo ujinga walioko nao na itawasaidi kujenga fikra nzuri juu yao pindi watakapokuwa wakifanya maamuzi sahihi na siyo haya ya kukurupuka wanayofanya sasa mfano mzuri ni matoke ya kidato cha 4 na 6 shule zao zinakua za mwisho badala wakae na kutatua tatizo wanasema wanaonewa naweza kuziita ni akili za ujuha!
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwenye udini sikubaliani na wewe labda uniambie iko midomoni mwa viongozi wa ccm wakidhani wanaikomoa cdm kumbe wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe kwani udini wanaouhubiri ukija kweli na ukawa donda ndugu itakula kwa kila mtanzania na siyo siyo sisi walala hoi pekee japo ndo tutaumia zaidi!
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni yeye pia alianza kulikuza wakati wa kampeni wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 na limeanza kukua sasa!
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  siyo mwasisi wa uislamu bali ni mwasisi wa udini!
   
 14. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ccm now days hawana sera kabisa yaani hawana chakuwashawishi watanzania ili wawakubali sasa basi wanakuza hili suala la udini kuwa eti Chadema wana udini kama sera yao na wanajisahau kuwa wanavyoliongelea kila mara ndivyo wanavyozidi kulikuza na litawagarimu sana.
   
 15. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Anayejua idadi ya wakiristo na waslam Tanzania nzima atuwekee hapa tuone
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wasijali katiba mpya itatoa mapumziko kuanzia alhamisi hadi jumapili, ili kukidhi upuuzi wa kidini tunaotaka kuuingiza
   
 17. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hapo ndiyo penyewe...
   
 18. a

  adolay JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Daima napenda mtu anaposemea jambo lolote pia atoe na ushahidi.

  Hapa tunaelimishana na kupeana tahazali ya nini kifanyike kulinusuru taifa Tanzani.

  Toa mifano isiyo na shaka wala uchochezi iliwatu wajifunze, kusema kunaudini sana haitoshi bila mifano hai kutufumbua macho.
   
 19. a

  adolay JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280

  ukijuwa idadi ili iweje? uchokonoz wa kutaka mijadala isiyo na tija.
   
 20. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Nani anayejua idadi halisi ya waislam na wakristu ndani ya cdm,ccm,cuf,nccr,tlp n.k usije ukasema kitu bila kutambua, mf. Rais wetu mwislam,makam mwislam,mkuu wa polisi mwislam n.k mbona wakristu wamekaa kimya, ila tabu ni imani ya dhehebu husika ndio inayoona unaonewa.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...