Je ni kutimia kwa usemi '' wamevaa ngozi yz kondoo kumbe ni mbwa mwitu?!'' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kutimia kwa usemi '' wamevaa ngozi yz kondoo kumbe ni mbwa mwitu?!''

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mageuzi1992, Jun 5, 2012.

 1. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimekua nikifatilia mambo yanayo endelea nchini ikiwemo kitendo cha sintofahamu katikati ya jamii yetu kwanza kabisa ni vuguvugu la kisiasa lililopo hapa nchini kwa sasa!
  Kumekuwepo kesi nyingi zakupinga matokeo ya wabunge n.k pia kumekuwepo swala la makundi katika vyama hasa hasa ccm. Mathani kuna makundi ambayo yamesha anza kampeni kwa ajili ya 2015
  chukulia mafano mh ''el'' huyu jaama imefikia mahali sasa ameanza kuwa mchungaji sijui niseme baba parokoo!!! Yeye ni kuhudhuria matamasha ya kidini,harambee za kidini,na matukio mbali mbali ya kidini ambayo ni aghalabu kusiwepo umati wa watu. Katika sehemu hizi amekuwa akitoa michango mingi na kupiga vijembe na kujisafisha pia. Si nia yangu kumhukumu bali nataka watazania tujiulize nyuma ya pazia kunani? Je ni kweli kwamba anawapenda watanzania sanaa? Je pesa zote za kuchangia tanzania yote anapata wapi? Je watu wakama hawa nyerere hakutuonya? Je sisi watanzania ni vipofu hivyoo? '' alisema tuogope watu wanaokimbilia ikulu....tena akasema tuwaogope kama ukoma''' i maneno ya mwalimu. Lakini tukija upande wa dini nayo inatukataza...nanukuu '''' tazameni naondoka kwenda kwa baba lakini nawaonya mbele.....tazameni watakuja watu wamevaa mavazi ya kondoo kumbe kwa ndani ni mbwa mwitu wakaliiiiii''' ''jihadharini nao'''
  je ndungu zangu tuendelee kuziba masikio tuuu

  tafakari chukua hatua
   
Loading...