Kuna mdau ameniuliza swali akiamini nitampa majibu ya haraka lkn sikufanya hivyo kwani nimeangalia umuhimu wa ishu yenyewe na nikahisi kuwa inawezekana kuna mtego ambao unaitaji mteguaji.
Sasa...
Workers at a mine in Tanzania. Extractive industries must comply with global transparency standards. Picture: File
By MIKE MANDE (email the author)
Posted Saturday, June 2 2012 at 12:19
THE...
Jana jumamosi nilipokuwa kwenye mishughuliko yangu nilisikia matangazo ya gari ililokuwa likizunguka katika viunga vya mji wa Songea likitangaza kwamba kijana Nape atahutubia wananchi juu ya...
Kwa kweli ITV nimeipenda ktk kurusha habari live na vipindi vya Masako kwani huwa maswali yake tofauti na waandishi wengine tz huwa yana kuwa mind provoking na mwansiasa kilaza jasho linatoka na...
Ukiona mtu mzima na mikono na miguu..Mzima wa afya ana elimu ya kutosha ana shamba la kulima mahali pa kulala maji ya kutosha. Madini yamejaa shambani kwake lakini mtu huyo anaomba omba huku na...
Deogratius Temba
PENGINE tunaweza kupingana, kukosoana na kutokukubaliana kuwa tatizo au sababu ya vurugu za Zanzibar zilizotokea wiki iliyopita ni udini au chuki za kiimani...
Andrew Banda ni mtoto wa aliyekua rasi wa Zambiaamefikishwa mahakaman kwa kujihusisha na rushwa pamoja na kujilimbikizia mali isivyo halali,ingawa kwa sasa ni baloz mdogo nchini India,ila Andrew...
WADAU KAMA WEWE NI RECORDS MANAGER KATIKA TAASISI YOYOTE NAOMBA MAWASILIANO YAKO TUNAANDAA DATA BASE YA NA RECORDS MANAGER KWAAJILI YA KUSHIRIKIANA KATIKA FURSA MBALIMBALI.
KWA MAELEZO PIGA 0653...
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji,msemo huuu uliotumiwa na wahenga ulikuwa na fundisho kubwa kwa watu au jamii mbalimbali ambazo zenye zilijiona kuwa ziko sahihi kwa kila jambo na kuwacheka wale...
Wana JF
Tumekuwa mstari wa mbele kukemea matendo ya kifisadi ambayo watumishi wa serikali wamekuwa wakiyafanya hususan yale makubwa ambayo yametambuliwa kama vile EPA, Richmond, ubadhirifu wa...
Posted Saturday, June 2 2012 at 17:19
Zanzibar is once again in the headlines for the wrong reasons. The recent flare-ups in Unguja show an ugly face that signals more, perhaps uglier...
Wanajanvi mtakumbuka wakati wa kampeni za mwaka 2010 na baada bwana wakati akikihutubia taifa alitangaza kuwepo kwa udini. Ijapokuwa hakuta ni akina nani wanaeneza udini, lakini wapambe wake...
Pamoja na kwamba kuna vitu tunawaamulia wazanzibari lakini ktk kudai muungano uliosawa mametuacha, wana nchi yao na katba yao sisi Tanganyika haipo na hatujali. Tunalipa ushuru bidhaa za zenj wao...
Ukimwona Dr anavyoishika mic, kwa mkono wake wa kushoto, ambao aliumia mwanzoni mwa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010, utagundua mkono wake haujarudia katika hali ya kawaida.
Napata shaka na...
Hii ndiyo tofauti yetu nchi maskini- Tanzania na wenzetu walioendelea; UWAJIBIKAJI!!!! sisi ni wapuuzi, tena sana! tuna sheria nyingi lakini hazifanyi kazi maana zikivunjwa adhabu stahiki...
Hili suala la machafuko ya Zanzibar mi naona ni matokeo ya mfomo mbovu uliopo na unaoendelea kuwepo chini ya Serikali hii ya majoka ambayo imeshindwa kabisa kuja na suluhisho la kudumu la matatizo...
BINAFSI NAFURAHISHWA SAANA NA NAPE KWA KUKIMALIZA CHAMA CHAKE NI MTU ANAYEJIJENGA BINAFSI BADALA YA CHAMA NIMEFURAHISHWA NA HILI KWA SABABU HILI LINASAIDIA SANA KUONGEZEKA KWA WAFUASI NA WAPIGA...
Hatimaye Katibu mwenezi na Itikadi nape nauye atoa computer katika tawi la smmuco(compus ya mwika) ikiwa ni ahadi yake wakati wa kuzindua tawi hilo.Hii jitihada za kuhakisha chama cha mapinduzi...
Wakuu,
Nimeguswa sana na makala ambayo imeonekana kwenye gazeti la Tanzania Daima leo iliyoandaliwa na Lucy Ngowi. Hii inahusiana na kampeni ya kuufanya Uwanja Wa Kimataifa wa JN kutokuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.