Kwa hili ITV nawapongeza

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
244
Ni kituo pekee cha TV ambacho kimekuwa kikiripoti M4C kwenye taarifa zake za habari tangu imezinduliwa kitaifa jijini Dar na kuendelea ktk mikoa ya kusini. Hongereni ITV.....
 
mi na wakubali sana hawa kwan huwa nda tv ninayopendelea kuangalia taarifa zake za habari....huwa hawachakachui km................na............
 
Kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku kamanda Issa Muddy amenifurahisha kuwafananisha jamaa na kupe:
Ng'ombe anachinjwa kupe hana habari,
Ng'ombe anachunwa kupe hana habari,
Ngozi inawambwa kupe ha habari,
Ngozi ikianza kukauka kupe ndo anastuka: " alaa! Huyu kumbe kashachinjwa?"

My take:
Hizo ni salamu kwa mashabiki zuzu wa magamba wasojua kusoma alama za nyakati. Dude lishachinjwa hilo, jisalimisheni nyie!
 
Mods, tafadhali badilisheni heading isomoke 'KWA HILI ITV NAWAPONGEZA' ni typing err.
 
Kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku kamanda Issa Muddy amenifurahisha kuwafananisha jamaa na kupe:
Ng'ombe anachinjwa kupe hana habari,
Ng'ombe anachunwa kupe hana habari,
Ngozi inawambwa kupe ha habari,
Ngozi ikianza kukauka kupe ndo anastuka: " alaa! Huyu kumbe kashachinjwa?"

My take:
Hizo ni salamu kwa mashabiki zuzu wa magamba wasojua kusoma alama za nyakati. Dude lishachinjwa hilo, jisalimisheni nyie!

du, hapo kweli
 
Back
Top Bottom