Naomba kuelimisha: Je ATCL ni idaea/depart ya wizara au ni Limited company owned by government!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kuelimisha: Je ATCL ni idaea/depart ya wizara au ni Limited company owned by government!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kasheshe, Jun 6, 2012.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwa mambo yanaoendelea ATCL naomba elimu kidogo waTanzania wenzangu.

  1. Is ATCL a government department or
  2.a registered limited company under the board of directors?

  Naomba kuelewa hili tu kwa nia njema wandugu, please this is not a joke, I need to learn and compare with what is happening in the corporation.
   
 2. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 573
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Mkuu kwani wewe unajua ATCL ni nini?
   
 3. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mbona huulizii TRL na TTCL mbona nako hakueleweki?
   
 4. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  ATCL ni shirika la umma kama mashirika mengine ya umma, ni limited liab company kama ninafikiria unachofikiria. Zinatofautiana na makampuni ya watu binafsi kwa jinsi zinavyoanzishwa na jinsi zinavyoendeshwa japo zinafanana katika hatua ya kuzisajili, na pia zinakuwa chini ya usimamizi wa wizara husika na pia idara na wizara zingine tofauti tofauti
   
 5. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Okay,,, asante sana... nadhani makumpuni yote yako sawa isipokuwa tu... kwa shirika la umma share holder au only shareholder ni serikali...

  Sasa naendelea mbele kidogo kuelewa zaidi... Je mkurugenzi mkuu/CEO au uongozi wa shirika la umma... aidha ATCL, TTCL whatever huwa ana-report wapi? Kwa bodi ya wakurugenzi au kwa katibu mkuu au kwa Waziri au kwa Rais... naomba msaada zaidi musi/usinichoke.

  In short mwajiri wa CEO, na wasaidizi wake ni nani? hata pale kwenye barua ya ajira?
   
 6. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 573
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Kiongozi tangu ulivyoaanza kuuliza swali lako nilikuwa najua majibu unayo na swali la msingi bado ujaliwasilisha so plz dont hit around the bush funguka kwenye main part ya kinachokukeleketa ambayo nidhani yanahusiana na hayo yaliyomkuta Mr Chizi na wenzake.

   
 7. M

  Mkora JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Mkuu huko unapokwenda sipo maana umeshaambiwa Chizi alichaguliwa kimakosa kwa uelewa wangu mimi chizi angekuwa anatoka Tanga kungekuwa hamna makosa
  Mfano halisi angali huyu Captain Lazaro anatoka Mbeya na waziri anatoka Mbeya inakuwa hamna kosa wakati mazingira ni yale yale wote ni wateule wa waziri
   
 8. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kasheshe haya ndo mojawapo ya madudu ya serikali ya ccm yanayolalamikiwa sana humu nawe umekuwa mtetezi wake mara nyingi. Leo unauliza tuseme unateteaga jambo usilolifahamu kwa undani?
   
 9. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145

  It seems, it will take ages watu kuelewa niko upande gani, lakini let me put straight... niko upande wa ukweli, I hate watu wasiofuata professionalism regardless wako upande gani? watawala au wapinzani. Kwangu kuwa upande wa Chama fulani ni kama kujipeleka jela la mawazo mwenyewe... yaani unakosa ule uhuru wa kuchambu.a
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Badili title iwe KUELIMISHWA badala ya KUELIMISHA
   
 11. E

  Edmund Senior Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye BOLD naomba ingia tovuti hii www.mot.go.tz itakusaidia na uache uvivu wa kufikiri. Are you great thinker?.
   
 12. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Du! Hata hukuelewa naulizia nini? Haya ndugu nawe umechangia.
   
Loading...