Jamani jiji la dar es salaam chafu!!!!!!!!!!!! Eneo la ikulu, usiseme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani jiji la dar es salaam chafu!!!!!!!!!!!! Eneo la ikulu, usiseme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Moony, Jun 6, 2012.

 1. M

  Moony JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ASALAAM ALEIKHUM wana JF.
  Nimeona nami nisemee hali ya uchafu katika jiji la Dar es Salaam.

  Nitaanzia FERRY /IKULU: Kwa kipindi kirefu san nilikuwa sijapita maeneo ya ferry. Kwa kweli nilipigwa na butwaa nilipofika chuo cha magogoni nikakumbana na harufu ya ajabu. Watu wote walionekana kunendelea na shughuli zao bila wasiwasi.
  Kwa kweli kuanzia kona ya wizara ya Ardhi inanuka hadi ferry, hii ikiwamo IKULU na maofisi yote ya Wizara za Serikali kuu.
  Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Raisi Kikwete anapata usingizi vipi kwa hewa chafu namna ile. Sijui hata wageni waingia Ikulu huwa anawaelezaje.
  Hivi kweli jamaniile harufu na mazingira yote kwa ujumla pale ferry na Ikulu imekosa ufumbuzi?

  Mh. Rais, kila siku unasafiri nchi za wenzetu, hivi huoni aibu nyumbani kwako panavyotisha? Kwa nini usipeleke maafisa wako Kigali au RWANDA wakaone wenzetu wanavyofanya na sheria zao kuhusu watu wachafu.

  Kila mwezi mara moja Raisi Kagame huingia mtaani kufagia na kufanya usafi kwake na mjini. Kwa nini Mh. usifanye hivyo siku moja TU! halafu tuone kama hali itaendelea kewa jinsi ilivyo.

  Hata miti ya Ikulu na maeneo yote kule ndani ni machafu!!! yaani wafanyakazi wa Ikulu au hata first lady huwezi kufanya initiative ukaokota uchafu na kuprune ile miti na kupanda mingine? Yaani hakuna watu wajuao kutengeneza garden mkawapa kazi badala ya kuoa michango mikubwa mikubwa kwenye projects ambazo si muhimu zaidi ya IKULU. Hii iwe chalenji kwa mama Kikwete, mh Rais mwenyewe, ofisi nzima ya Ikulu, waziri mkuu etc.

  Watu hawasemi tu lakini wanaishangaa Ikulu!

  "TAFAKARI, CHUKUA HATUA"

  :embarrassed:
   
 2. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Usafi ni Culture au utamaduni wa watu.Sasa kama hawakulelewa kwenye utamaduni huo sio rahisi wajifunze sasa hata kama wanasafiri kwenda nje kila siku.Mimi mwenyewe huwa nakosa jibu kwa nini Jiji la Dar ni chafu kiasi hiki?tunashindwa na miji ambayo huwezi kuamini.Naona kuwepo na uhamasishaji wa kila mtu atunze mazingira ya mahali anapoishi .Viongozi wetu wamezoea kila kitu kufanywa na wafadhili utasikia siku moja kwenye tangazo litasema"USAFI HUU UMELETWA KWENU KWA HISANI YA........"
   
Loading...