TAHADHARI: Kuna bia za Ndovu na Castle light hazina tarehe ya kuharibika!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
jana maneja wa bar moja alinishawishi kunywa bia ya castle light kwa sababu stock ya bia za ndovu alizokuwa nazo zilikuwa zimeisha muda wake.nilishawishika na kuanza kuzigonga 'lights' kadhaa.
Leo tena meneja ananiambia niendelee kunywa castle light,hapo ndipo nilipoamua kuangalia expery date!
Nimeangalia kreti zaidi ya mbili bila kuona expery date kwenye bia hizi mbili.kama unabisha chunguza sasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
expery date ipo lakini imejificha mno,hasa ukiwa umepata chupa kadhaa!
 
ingekuwa vyema kama utatutajia jina la baa na mahali ilipo ili tukajiridhishe,huenda hizo bia zilipitia mlango wa nyuma hata kabla ya kupigwa stamp ya expired date
 
niko maeneo ya sanawari-arusha.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
jana maneja wa bar moja alinishawishi kunywa bia ya castle light kwa sababu stock ya bia za ndovu alizokuwa nazo zilikuwa zimeisha muda wake.nilishawishika na kuanza kuzigonga 'lights' kadhaa.
Leo tena meneja ananiambia niendelee kunywa castle light,hapo ndipo nilipoamua kuangalia expery date!
Nimeangalia kreti zaidi ya mbili bila kuona expery date kwenye bia hizi mbili.kama unabisha chunguza sasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

du,umenifanya safari yangu ya kesho kuwa hovyo maana hakuna cha kuniliwaza
 
jana maneja wa bar moja alinishawishi kunywa bia ya castle light kwa sababu stock ya bia za ndovu alizokuwa nazo zilikuwa zimeisha muda wake.nilishawishika na kuanza kuzigonga 'lights' kadhaa.
Leo tena meneja ananiambia niendelee kunywa castle light,hapo ndipo nilipoamua kuangalia expery date!
Nimeangalia kreti zaidi ya mbili bila kuona expery date kwenye bia hizi mbili.kama unabisha chunguza sasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Chonde chonde ulevi ni nomaaaa
 
Back
Top Bottom