Nape azomewa makambako

tweve

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
694
146
Akiwa makambako nape amekutana na zahama hiyo baada ya kukataa kuulizwa maswali na wananchi.

Baada ya kuona wanamzomea na kuonyesha alama ya v inayotumiwa na cdm naye kawaonyesha alama ya matusi kuwajibu. Asema wanaohama ccm ni oil chafu azomewa, asema slogan ya m4c imekosewa ilibidi iwe movement for demokratic change, aambiwa hiyo ni ya ccm na si cdm. Leo wamepata aibu ya mwaka.

Source ni mimi mwenyewe niliyekuwepo kwenye mkutano
 
tweve wewe si mkweli nape hajazomewa aliyekwambia amekudanganya mimi nilikuwepo hapa mkm. Mapokezi yalikuwa mazuri tu.
 
tweve wewe si mkweli nape hajazomewa aliyekwambia amekudanganya mimi nilikuwepo hapa mkm. Mapokezi yalikuwa mazuri tu.

Sishangai maana CCM siku hizi mnaenda ki-reverse mkizomewa ndo mmeshangiliwa. Teh teh te teh sijui na hapa utasema nimecheka ama nimekucheka
 
Sishangai maana CCM siku hizi mnaenda ki-reverse mkizomewa ndo mmeshangiliwa. Teh teh te teh sijui na hapa utasema nimecheka ama nimekucheka

Ni kweli kabisa Mkuu! Siku hizi wakizomewa hata kama imerekodiwa, wanakanusha kwa nguvu zote. Nadhani wanafikiri tupo enzi za Redio Tanzania!
 
Tumuamini nani? Kazomewa ama kapokewa na mpokezi mazuri? Msituchaga leteni picha kuthibitisha msemayo
 
Ngoja mwenyewe atakuja hapa!
Atasema wanaccm wa mwaka 2030....watoto wa chekechea ndo wamempokea na ni hazina ya chama.
 
Kuna aliye zomewa akasema hakuzomewa bali ni mlevi alipita akaropoka.tumsubirie mwenyewe mtusikie atasema nini.
 
Ngoja mwenyewe atakuja hapa!
Atasema wanaccm wa mwaka 2030....watoto wa chekechea ndo wamempokea na ni hazina ya chama.

ana ka msemo kake anasema ''ukitaka uendelevu wa zizi tazama ndama wake''........qwa qwa qwa qwa .......
 
Tumuamini nani? Kazomewa ama kapokewa na mpokezi mazuri? Msituchaga leteni picha kuthibitisha msemayo

kama unakumbukumbu ya huko makambako utajua nani wa kumwamini huko siyo hata kikwete anapatambua...
 
ana ka msemo kake anasema ''ukitaka uendelevu wa zizi tazama ndama wake''........qwa qwa qwa qwa .......

Huyu dogo hovyo kweli, yani watoto wa chekechea kwake yeye ni wafuasi wa ccm

Unajua ukikosa wa kupiga nae picha ndo unafanya haya anayofanya huyu.
 
Nape maji shingoni!hivi hakunaga mtu mwingine wa kumsaidia kubeba hizo fedhea?yaani hana hata makamu?binafsi huwa namwonea huruma sana.
 
nape, naamini bado kuwa wewe ni miongoni mwa wanasiasa wachache wenye uvumilivu na IQ ya juu kabisa ktka medali za siasa tuliokuwa nao TZ, lakini kitendo chako cha kutoweza kusoma alama za nyakati haswa wakati huu ambao cdm wanatumia madhaifu ya ccm kujiimarisha unanisikitisha sana. Na wewe unakubali kuwa kwenye siasa za kizamani za kina wasira makamba senior na wengineo? please nape WAKE UP, njoo na siasa za kishindan na kisasa zaidi haswa kwa kucheza pia na alama za nyakati na uhalisia wa kichwa vya watanzania wa leo
.
 
kama unakumbukumbu ya huko makambako utajua nani wa kumwamini huko siyo hata kikwete anapatambua...

Tunangoja show nyingine ya JK kutembea mitaa ya soweto na mwanjelwa mbeya kuashiria yeye ni kipenzi cha watu na anaweza kupita mitaani akiwa na bodyguard 15.
 
Back
Top Bottom