Twashauriwa-Kila Mtanzania atleast awe na Elment ya pikipiki nyumbani

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Hii ni kutokana na watu wengi kuwa mabishoo wapandapo boda boda sasa basi hii kitu itawafaa sana maana visingizio hasa kina mama utasikia kofia lako chafu siwezi liva litaniharibia nywewe!ma bro wao husema lina chawa hilo kofia ss inakuja sheri kila mtu awe na kofia la pikipiki ili ukihitaji kuutumia unavaa ndo unaenda kupanda pikipiki japo ni ngumu lakini nina imani itawezekana tu!nawakilisha
 
wengine usafiri wetu ni TZ 11, helmet la nini? Hiyo hela si bora niongezee ninunue baiskeli inirahisishie usafiri?
 
Hii ni kutokana na watu wengi kuwa mabishoo wapandapo boda boda sasa basi hii kitu itawafaa sana maana visingizio hasa kina mama utasikia kofia lako chafu siwezi liva litaniharibia nywewe!ma bro wao husema lina chawa hilo kofia ss inakuja sheri kila mtu awe na kofia la pikipiki ili ukihitaji kuutumia unavaa ndo unaenda kupanda pikipiki japo ni ngumu lakini nina imani itawezekana tu!nawakilisha

Mim nimtumiaji sana wa hiyo huduma but huwa sivai helmet. siku moja nikiwa mtwara nikaona nijaribu kuvaa na mim..... mmmhh kichwa kiliwasha siki nzima... nafikiri walikua chawa wale..
nikasema sitavaa tena tangu siku hiyo.
 
Hii ni kutokana na watu wengi kuwa mabishoo wapandapo boda boda sasa basi hii kitu itawafaa sana maana visingizio hasa kina mama utasikia kofia lako chafu siwezi liva litaniharibia nywewe!ma bro wao husema lina chawa hilo kofia ss inakuja sheri kila mtu awe na kofia la pikipiki ili ukihitaji kuutumia unavaa ndo unaenda kupanda pikipiki japo ni ngumu lakini nina imani itawezekana tu!nawakilisha

Elment?
 
Kichekesho majuzi nilikuwa Tanga kule wengi wao wanatumia yale ya ujenzi ahahahaaaaaa
 
wengine tunakodi bodaboda cku kukiwa na tabu ya usafiri je tutembee nayo kwenye walet? Haf watz amtaki tu kukubali kifo kipo tu hata mkivaa mavyuma kichwani helment nn bana
 
Unaweka kwapani mkuu!
 
Back
Top Bottom