Why kila kitu kimevamiwa na SIASA?????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why kila kitu kimevamiwa na SIASA??????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by cement, Jun 6, 2012.

 1. cement

  cement JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamani tunakoelekea sasa ni kubaya siasa ss imetawala nchi kila kitu kila sehemu siasa siasa,mashuleni siasa-siasa,mahospitali siasa-siasa,kwenye biashara zetu siasa-siasa,yaani hata katika zile proofeshino nyeti siasa imekuwa siasa duh hali mbaya namna hii hatuwezi kuendelea ifike mahala turudi nyuma Kila sector kila wataarifu tufanye kazi zetu ili tulikomboe taifa letu!tumekuwa bize sana na hii kitu toka 2005,na hii inatokana naserikali yetu hebu mtuache tufanye kazi jamani me ni Engineer lkn muda mwingi tunazungumza siasa siasa duh tutaweza kweli kubuni na kutengeneza kitu?hospitalini wahudumu ndo lugha zao siasa siasa mpaka watasahau Dozi du hii ni nn wadau tufanyeje ili tusahau?
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Hivi ww unajua maana ya siasa kweli? Hujui kama siasa ndio maisha? Hivi huo uengener wako unafikir umetokana na nn?
  Pia umenichanganya pale uliposema kila kitu kimeingiliwa na siasa kwani ina maana hadi vyoo vimeingiliwa na siasa!?
   
Loading...