Chadema washikwa pabaya watengeneza UONGO usio na nguo kuhusu Nape. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema washikwa pabaya watengeneza UONGO usio na nguo kuhusu Nape.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by the horse, Jun 6, 2012.

 1. t

  the horse JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 578
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Dakika ishirini zilizopita, Kuna thread ya "uongo" juu ya ziara ya Nape makambako leo na kudai kuwa alizomewa katika ziara hiyo,

  UKWELI NI HUU;

  Mimi nilikuwepo katika mkutano huo na ili linalozungumzwa halikutokea na kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuwa Nape anaweza kutukana wananchi hadharani (ambao wengi ni wanaCCM).

  Uhalisia ni kuwa jamaa aliwashika pabaya chadema hii leo na kuwaeleza kuwa movement for change ni namna ya kutengeneza pesa kwani haina mashiko kwa kuwa haijielezi ni "cheji" ipi wanaitaka, na nape alitoa mifano kuwa ulaya hivi sasa wanayo movement for "democratic change" lakini hii ya chadema haijielewi ipoipo tu.

  pili aliongelea juu ya waliohama kuwa ni sawa na oil chafu ambayo haina madhara ikipungua na hata kutolewa kabisa kwa kuwa haifai tena kwenye gari hilo.

  na pia akasisitiza kuwa mapato ya stendi ya makambako isomwe hadharani na kubandikwa ili wananchi waelewe.

  pia alieleza juu ya muungano na kueleza kwa mifano, alitoa mfano kuwa si busara kwa watu ambao wamekuwa katika ndoa kwa miaka 50 kuanza kujadili uhalali wa ndoa hiyo bali wanaweza kujadili namna ya kuongeza mapenzi kwa nia ya kudumisha ndoa hiyo

  aliendelea kwa kufafanua juu ya suala la mgombea binafsi na kuweka wazi kuwa CCM haina shida na suala hili isipokuwa ni wazi kuwa suala hili litawaumiza upinzani zaidi kwani iko wazi kuwa leo hii katiba ikilipitisha hili kuna watu siku hiyo hiyo wanatangaza kuhama chadema na kusimama wao kama wenyewe, watu ambao wana-majority kwenye chadema"

  Nape aliendela kusisitiza juu ya suala la maadili ya viongozi na kueleza kuwa inalazimika sasa suala hili liingie katika katiba mpya ili lipate nguvu zaidi.

  haya na mengine mengi yalifanya hata wale waliokuja kwenye mkutano na kombati waanze kushangilia na picha naipandisha kwa ushahidi.

  Magwanda lazima muishiwe damu mwaka huu, jamaa anawapiga pande zote. Imagine ule umati ulivyojaa...!
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahaha hata ukanushe habari ndo hiyo,alizomewa vibaya......
   
 3. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmmhh huyu sio kasa mwenye sumu kweli....................
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kazomewa sana nape leo
   
 5. t

  the horse JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 578
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ukweli utabaki wazi kuwa CCM ni chama dume hakiwezi kuzidiwa kwa propaganda za kutengeneza kama hizo..
   
 6. B

  Bubona JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Picha unapandisha kwa maneno, au bado unai-photoshop?!!!
   
 7. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  chama dume ndiyo nini?chama jike ndiyo kipi?dume kazaliwa na dume au na mama?hayo ni maneno mnayoropoka kama kuvuana magamba baadaye yanawageukia kuwa kaa la moto moyoni na midomoni
  shauri yenu kipindi hii hadi mpigwe chini 2015 mpira uko kwenye 18 yenu mtaokoa na mwishoni mmoja wenu kama huyo Nape ATASHIKA MPIRA,RED CARD NA PENALTI!
   
 8. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  No one can stop M4C.....
  Nape anacheza ngoma ya CDM.
   
 9. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu hizi c zama za kuckiliza redio 277, kila kitu LIVE.. Ukubali ukanushe Nape na Gamba woooote kwishney.. Alizomewa EL Makambako itakua Nape? Hadanganyiki mtu hapa.. Sote tumeamka,Enzi ya ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CCM zimepita.. Wimbo bora karne hii ni "PEEEEOPLESSSS POOOOOOOOWEEER!!!!!!!!! ( utaisoma tu japo huipendi)
   
 10. Chilipamwao

  Chilipamwao JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  onyesha picha. huoni chadema picha za mikutano yao zinapanda haraka? au hao magamba hawana teknolojia ya kisasa? navyojua makambako ya sasa ni Pro CDM
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  HUU uwongo ndio unawagharimu ccm kila kukicha.
  Kuhusu wanachama wa ccm 890 waliohama na kuhamia cdm huko Lindi Nape amesemaje?
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kazi ipo!kila kitu kwa ccm sio sahihi
   
 13. t

  the horse JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 578
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hakuna haja ya kutengeneza story.,CCM haijaanza Siasa jana ina nusu karne katika hili.,chadomo ndo wanaoangaika kutafuta namna ya kutoka...!
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Jamaa yangu yuko pale makambako kaniambia jamaa alizomewa mpaka gari yake ikapotea njia.Maskini Nape!
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  The horse weka picha basi
   
 16. t

  the horse JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 578
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Gari hiyo alikuwa anaiendesha mwenyewe...???
   
 17. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  nitawaitia lowasa nyie. Eboooooooo!
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,789
  Likes Received: 36,801
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona umerudi na srory tena, kuweka picha haigharimu hata dakika 5.
  Nyie watumwa wa nape mnazidi kumuahibisha katibu mwenezi,
  Hebu fanya fasta chambua picha za zamani hata zile za kina mama wa songea tupia hapa kumnusuru huyu muasisi wa kifo cha ccm.
   
 19. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Hatutaki maneno maneno tupe numbers hapa
  1. Kauza Kadi ngapi
  2. Wanachadema wangapi wamerudisha number?

  hata kama ni magumashi. hayo mambo mengine ya kuelezea m4c ina maana gani sijui hayana maana sababu mtu mwenyewe hakuna analolijua.
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu propaganda hazitakusaidia.Ninachowashauri timizeni ahadi mlizotoa kwa wananchi.Maisha ya wananchi yakibadilika watawashangia tu.Lakini pole kwa yaliyotokea maana nahisi wewe ndio Nape mwenyewe
   
Loading...