Facebook & The Today's Generation (Waste of Time)

Gracious

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
1,890
1,082
Naomba niishukuru sana Facebook......Kabla sikua najua Facebook ni nini,na kwa kuwa sasa naijua,nadiriki kusema kwamba inaonekana kama upotezaji mkubwa wa muda.

Sitaki kusema kwamba watu walio Facebook are loosers ,No.Lakini ni kwa sababu labda ya kuwa polite. Watu watasema,

'Gracious,Facebook ni namna nzuri ya kukuunganisha na marafiki wa zamani,' kujua mijadala inayoendelea katika jamii pamoja na mada unazopenda. Lakini, bahati mbaya,tunachokiaona zaidi ni comment za ajabu ajabu, videos and silly pictures,generally disrespectful material. Well, kuna namna nyingi to check friends We have phonebook, but you wouldn't waste an afternoon with it like how many people do in Facebook.

Nenda maofisini leo, Utakuta mtu anafanya kazi kwa kuzembea Page ya Facebook iko wazi kwenye Computer yake, kijana anatembea barabarani yuko busy na Facebook kwenye simu hata anaweza kupata ajali. Of course nimeamua kupost hiki kitu kwenye JF muda huu ili watu wapate kujadili.Tunalalamika kwamba tunazidi kuwa masikini,tunailaumu serikali kila siku. Lakini mapinduzi dhidi ya umasikini yanaanzia katika Personal Capacity, Serikali pia ina nafasi yake. If we are not working dont expect tutapata maendeleo. Never.

Nahitaji kusikia kutoka JF, if they think facebook is just overated media vehicle, complete wast of time which will go down eventually.
 
Naunga mkono kuwa mada zilizomo kwenye Facebook sio constructive sana na mara nyingi mada nyepesinyepesi.
Hii ni kwa sababu wachangiaji wana ID zao sahihi.

Pia ni kweli watu wengi hasa vijana wanatumia muda wao mwingi kwenye facebook maranyingine hupungaza ufanisi wa kazi zao

Upande wa pili wa shilingi ni kuwa hapana shaka yoyote kuwa Facebook imefanikiwa kuwaunganisha marafiki wengi na school candidates wengi sana.

Hivyo haiwezi kulaumiwa mojakwamoja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom