Hivi ni nani aliye mchagua Chizi kuwa....

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Ningependa kujua ni nani aliye mchagua Chizi kuwa Mkurugenzi?
Kabla ya kuchaguliwa alikuwa na wadhifa gani?
 
Mh. Omar Nundu , ndio alimchagua Chizi, Ila kuna jamaa kibao nae Chizi kaajiri je walifuata taratibu?
 
Mh. Omar Nundu , ndio alimchagua Chizi, Ila kuna jamaa kibao nae Chizi kaajiri je walifuata taratibu?
Simbamwene asante kwa elimu,kwa hiyo hao jamaa wengine walio simamishwa ni yeye Chizi aliwachagua?
 
Last edited by a moderator:
Nadhani mwakyembe ana tatizo kidogo na watawala waliopita kwani Chizi alikuwa kaimu mkurugenzi. Alishika nafasi ya Mataka D. Sasa utaratibu gani aukufuatwa? Mwakyembe kamsimamisha Chizi na kateua mpya kwa staili ile ile ya Nundu. Labda ni mambo ya ndani sana na tutayaelewa vyema baada ya ufafanuzi wa barua ya Waziri kuwa wazi au tuhuma hizi kuwa wazi zaidi. Nundu alikuwa waziri na Mwakyembe ni waziri ...
 
Nadhani mwakyembe ana tatizo kidogo na watawala waliopita kwani Chizi alikuwa kaimu mkurugenzi. Alishika nafasi ya Mataka D. Sasa utaratibu gani aukufuatwa? Mwakyembe kamsimamisha Chizi na kateua mpya kwa staili ile ile ya Nundu. Labda ni mambo ya ndani sana na tutayaelewa vyema baada ya ufafanuzi wa barua ya Waziri kuwa wazi au tuhuma hizi kuwa wazi zaidi. Nundu alikuwa waziri na Mwakyembe ni waziri ...

Ila mmoja kafukuzwa kama waziri.....unajuaje kama huyu Chizi aliteiuliwa na Nundu verbally na huyo wa Mwakyembe kwa maandishi?
 
Mwakyembe kamsimamisha lakini jamaa kichwa sana kutokana na maelezo yake kisa ni kuingia mkataba na aero vista!!

source; corporate-digest.com (www.corporate-digest.com |)


WITH just a few days gone after AIR Tanzania Corporation Limited's (ATCL) acquired a Boeing 737-500 plane, the national flag carrier is now set to acquire another plane that will help it embark on international flights within the next three to six weeks.
ATCL acting CEO Paul Chizi after launching the Dar es Salaam-Kilimanjaro-Mwanza route over the weekend, said that his company is now focused on implementing its five-year development plan which will help increase efficiency and service delivery.
"We are focused to increase service delivery as well as winning our lost glory. We will be acquiring another Boeing plane and negotiations have already begun.
"We need public support that will help us achieve our set targets. Our services are exceptional and economical as compared to other service providers," he said.
He said his company will charge 199,000/- for a return ticket via both the Dar es Salaam – Kilimanjaro and Dar es Salaam – Kilimanjaro daily flights.
Stakeholders have however called upon the Government to provide financial support to ATCL saying the company's efficiency will play a pivotal role in the country's tourism sector.
According to Retired Judge Steven Ihema of the High Court, the airliner can achieve its lost glory if provided the necessary support especially at this time when ATCL has shown the will.
According to Meshach Bandawe the Parastatal Pensions Fund (PPF) Lake Zone Manager, the company's launch of international flights will help improve tourism revenue and economic development in general.
"I take this chance to call upon various organizations and Government parastatals to be patriotic and support ATCL. Am sure if such patriotism can be achieved, the airliner can be able to achieve its lost glory," he said.
Industrial analysts however say ATCL's resumption of flights will go a long way in shaping the aviation sector's regime that has been dominated by private players for a long time.
ATCL leased its Boeing 737-500 plane with the capacity to carry 108 passengers from Aero Vista Dubai and the company has already signed a renewable six months contract with Aero Vista Dubai
 
hata mm sijelewa ni utaratibu gani ambao Nundu hakufanya w akumchagua Chizi
namwona Chizi ameingia kwa kasi na ameweza kufanya jambo linaloonekana
na alikuwa mkakati mzuri mbeleni
Ngoja tumwone kapten ana uzoefu gani kwani Chizi alitoka community airline ana uzoefu.
kuw acaptain pekee inatosha? yetu macho
 
Jina lake limemponza. Akiweza alibadilishe. Analo kosa alilofanya jaribuni kufuatilia na kufanya research msiwe wepesi kulaumu.
 
Hili ni Tatizo mimi sikupenda Chizi atenguliwe maana kazi yake inaonekana na ni nzuri yaani walikuwa wameanza vizuri sasa sijui itakuwaje JK MRISHO INGILIA KATI shirika letu la ndege lisonge.
 
Kuna wakati tulisema JK mdini kwa sababu kamteua na kumkumbatia Mataka ATC mpaka alipostaafu mwenyewe, na Dau wa NSSF. Kumbe wakurugenzi mashirika ya Umma sio teuzi za Rais?
 
hivi jina lake ni chizzi au chizi au mwakyembe alimtimua baada ya kuletewa jina moja la jamaa?
 
Back
Top Bottom