Tbc kilimanjaro bado kuna shida................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc kilimanjaro bado kuna shida...................

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M4C ARUSHA, Jun 7, 2012.

 1. M

  M4C ARUSHA Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tasnia ya habari inaonekana kupoteza mvuto baada ya watu walioonekana kupoteza mwelekeo wakimaisha na hatmaye kuingia huko kwa lengo la kutaka kujinufaisha wao ni si umma kama ilivyo tasnia hiyo.  Hapa ni na maana ifuatayo mkoa wa kilimanjaro ni moja kati ya mkoa wenyesifa nyingi nje na ndani ya nchi kutokana na sifa nyingi ndan ya mkoa husika  chakushangaza mkoa huo umekuwa ukitangazwa na vyombo vingine vya habari kan kwamba hakuna vyombo vya serikali ambavyo vinaongozwa na kodi zetu yaani tbc taifa pamoja na tbc fm  ukijaribu kuangalia undani watatizo hili ni kuwa eti wafanyakzi wa tbc taifa katika mkoa wa kilianjaro hawawezi kutoa habari yako au taarifa yoyote ile bila kuwapa chochote hivi ndivyo mshana alivyowatuma?
  Mfano tulimwita mmoja wamfanyakazi wa tbc bwana kija elias himo kulikuwana magari yanavusha mahindi kwenda kenya huku yakiharibu bara bara akauliza una shilingi ngapi?haya ndiyo maadili nauliza  sikukata tamaa kutokana na utendaji kazi wa kijana huyu ambaye historia yake inaonesha kuwaalikuwani mchunga ng”ombe kule mwanza aliyeishia darasa la saba lakini niligundua tatizo sio yeye ni akili yake  hapa niulize tbc mna mpango gani kuinusuru kilimanjaro dhidi yahuyu kijana?hamuoni kuwa mnatumia vibaya kodi zetu?hatuna maana mbaya au tuelekezeni tukiwana taarifa zetu tupeleke wapi?  Kijanahuyu cjui kama ndio maagizo anayopewana bosi wake yaani sauda shimbo lakini amekuwa akitishia waandishi wenzake kuwa yeye yupo serikalini na kwa kuthibitisha hili alishwahi kukaba koo mwandishi mwenzake “anold swai”wa habari leo katika ofisi ya mkuu awa mkoa.  Tuulizane tena kwa heshima ukiwatbc wewe ndio kila kitu?hata kama kijana huyu amepoteza maadili mbona wenzake wasimwelekeze?aukwakuwa eti yeye ni mbabe na ana historia yakuwapiga waandishi wenzake?  Nina shaka kubwa sana moyoni mwangu kuhusiana na hali ya chombo hiki ila nikipata angalau mwanya wa kufikisha taarifa hzi mako makuu itanibidi niseme  “mimi nimeomba kugombeaukatibu mecki wameninyima”alisema bwana kija hivi kwaakili ya kawaida watu na akili zao wakaongozwe na darasa la saba kweli?  Hebu waweke wazi waandishi wenzio kuwauna akili ya ziada au ni pepo au ni hiyo tbc tu au ni kitu gani hasakinachokusumbua kiasi hicho  ni taasisi nyingi sana sio huku himo tu hata tanapa hizi hela za wavuja jasho unazokula huenha ukashindwa kurudi mwanza
  mkuu wa mkoa naomba unisaidie.tbc kazi kwenu
   
Loading...