Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani % kubwa ya watanzania iwe jioni, asubuhi au mchana utaona muda wote wanauchapa usingizi, je kusinzia huku kunafaida gani kiafya??
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kiapo cha Mwanachadema mtiifu kama vile kinasema; Nitakuwa mtiifu kwa uongozi wa chama changu sitahoji mapato na matumizi ya fedha yanayofanywa na uongozi nitajitolea kuwalinda na kuwasafisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana jf ni dhahiri nchi hizi zinatafutwa sana na kila mbinu zinafanywa ikiwa ni pamoja na kupandikiza chuki ili kuhakikisha wanazipata nchi hizi na kumiliki rasilimali zilizopo! CCM wanafahamu hl...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana huko wilaya ya kilombero makuu wa mkoa wa morogoro aliwaita wakuu wa wilaya zote mkoani humo pamoja na wakuu wa idara zote kwenda kushuhudia kufunguliwa kwa uvuaji wa samaki katika mto...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Hongera Mheshimiwa Joshua Nassari,(MB.Arumeru Mashriki) Nakupongeza kwa mengi pamoja na hili la kuwatia moyo vijana na maskini wa Meru na popote duniani. Vijana na wananchi wa Tanzania kwa...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Dah hii imetokea muda si mrefuu hapo kiluvya stand wakati wanafunzi wa sekondari wanasubili usafiri,mara akaja kichaa inasemekana ni mpiga debe na kuanza kuwatimua wakaaanza kukimbia hovyo huku na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kamati imesema bajeti haijakidhi viwango. Bajeti hiyo haijazingatia makubaliano ya Abudja yanayotaka bajeti ya afya kuwa angalau 15% ya bajeti ya serikali. Pia bajeti haijaonyesha ongezeko kwenye...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
MGOGORO wa kimasilahi ulioibuka Januari na Machi, mwaka huu baina ya madaktari na Serikali ambao ulitulizwa, sasa unaelekea kuumuka upya. Hii ni kutokana na kauli ya madaktari iliyotolewa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna siku tuliahidi kuanzisha blog kwa ajili ya kubadilishana habari kwa watu wa mkoa mpya wa SIMIYU. Blog Ilichelewa kutokana na maombi ya watu mbali mbali ya kuongeza wigo wa eneo. Maombi yao...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Ndugu wakuu! Ni dhahiri kwamba ukikaa na kujadiliana na watu utajua mengi. Nikiwa katika wilaya ya Moshi leo nimejaribu kufika katika kata ya Kirua Magharibi na nikapata taarifa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimejaribu kutafakari ni kwanini Nyerere alimuachia nchi MWINYI na si MKAPA au SALMIN maana nikiangalia picha naona ni watu ambao alikuwa nao karibu sana. Nadhani alimuachia Mwinyi kwa kuogopa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Watanzania hatujawahi kuwa na udini na ndio maana Mwl alifanya kazi na waislamu vizuri na ukweli ji kwamba wazee wa kiislamu ndio waliompa urais. Hakukuwa na ukabila maana mwl ambaye ni mbara...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF naomba kufahamu, ni nani anaekuLa rushwa zaidi kati ya makundi haya; Polisi, TANROAD, Mahakama, Kamati za zabuni, Wasimamizi wa miradi ya; na Barabara za halimashauri, na Tanesco na...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Eti 'wezi' wameiba kompyuta ya Mhariri wa gazeti la Mwananchi, Hawakuvunja, iliibwaje? Hii inanikumbusha wizi wa komputa ya Mwandishi wa gazeti la This Day, ambapo wezi walivunja kioo na 'kuiba'...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
With tigers on the brink of extinction, lion bones are increasingly being used as a substitute in Asia, where some believe the bones of big cats can cure illnesses. Although there is no...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Hey,nilifatilia interview ya moja ya mdau mkubwa wa biashara ya mafuta,one of his main comments were,OIL PRICE IN WORLD MARKET IS LESS THAN MARKET PRICE IN Dsm,he asked and i am asking,WHATS IN...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
  • Closed
Serikali imetoa tamko na dodoso ambayo itatumika kukusanya sensa ya watu na makazi kuwa vipengere vya Ukabila na Udini havitakuwepo kwa sababu havisaidii katika swala la kimaendeleo na kijamii kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwenye shughuli ya kuuaga mwili wa Mzee Bob Makani, Mbowe ameumuaibisha sana katibu wa CCM bw. Mkama kutokana na kuongea maneno ya UWONGO. Kwenye kadamnasi hiyo, Mkama aliudanganya umma...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Ajali ya Helkopta yaua mawaziri Kenya! Sunday, June 10, 2012 | Lebel feature, habari muhimu, Maganga Media, news, picha | Posted by Maganga Media Imethibitishwa kuwa Waziri wa usalama wa taifa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Chinese were prepared to complete the building in nine months...” According to a source. Posted Saturday, June 9 2012 at 13:29 Tanzania stands to lose the chance to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom