Wakati sheikh Ponda akitaka kamati, Serikali imesema hakuna swali la Dini, Ukabila kwenye sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati sheikh Ponda akitaka kamati, Serikali imesema hakuna swali la Dini, Ukabila kwenye sensa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dosama, Jun 12, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Serikali imetoa tamko na dodoso ambayo itatumika kukusanya sensa ya watu na makazi kuwa vipengere vya Ukabila na Udini havitakuwepo kwa sababu havisaidii katika swala la kimaendeleo na kijamii kwa Mtanzania.

  Wakati huo huo Sheik Mponda akiitaka serikali iunde tume huru itakayo jumuisha wakristo, waislam na wapagani ili waweze kutekeleza kipendele cha dini katika kuhesabu idadi ya waislam, Wakristo na wapagani wa nchi hii.


  Source: Mwananchi

  My concern
  Sasa hapa sijui watagoma kama walivyosema
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  They never rest! Period!
   
 3. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Ongezea
  -Tanzania Kujiunga na OIC
  - Mfumo Kiristu
  - Hospitali za Mission (DDHs) kupewa ruzuku na serikali (MoU)
  - Ijumaa iwe siku ya mapumziko
  - Mabucha ya nguruwe, baa za pombe (bia) kuchomwa moto (ref. ZNZ, Mwembechai)
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  Sheik Ponda...what a sheikh! Kazi ipo maana sijui anafikiria nini huyu bwana kuhusu uwepo wa watu wenye dini nyingine.
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  Rais si muislamu, kwanini msimshauri aondoe hizo ruzuku kwenye mahospitali? Tunaongea ongea tu mara nyingine. Hospitali za serikali ziko ngapi na zinawafikia wananchi kwa kiasi gani? A wishful thinking
   
 6. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Sheikh Ponda anasema hataki Waislamu wahesabiwe. Ni bora watu wasiingilie sensa. Labda tunahitaji lecture khsu sensa kama Prof. Shivji anavyotoa lecture kuhusu katiba. 'Msemaji' gani wa Serikali anayeweza kusema kwamba hakuna Serikali duniani inayohitaji kujua wananchi wake wana dini gani? From which school of government did he learn government? Maneno kama haya ndiyo yanayofanya watu wafiikirie kwamba viongozi wetu ni feki,viongozi wa dini pamoja na serikali,na kwamba maybe it is better if we take things into our hands. Ni kazi ya sensa kuwasaidia watu kujua demographics. Sheikh Issa Ponda anaweza vipi kufikiria kwamba kuhesabiwa Waislamu kutahatarisha maisha yake? Halafu wanaifanya kuwa ugomvi kati ya Wakristu na Waislamu;kwamba Wakristu wanataka waumini wa dini tofauti wahesabiwe,na Waislamu hawataki,wakati haya ni mambo ya sensa ambayo yanafanyika duniani kote;kama kuna kuna sensa,kihesabike kila kitu kinachoweza kuhesabika,sensa ndio hiyo,itumike vizuri,yasitokee majuto baadaye. Leo hii ukitazama katika mtandao utaona demographics za kila pahali duniani. Wangefahamu vipi bila sensa? Hizo data za kabila na dini zinaweza kuamua watu wanapiga kura vipi katika Uchaguzi wa 2015,kwa hiyo it is of interest to political scientists.
  Matatizo ya Waislamu nafahamu[buti I don't want to say],ni kwamba there are some misguided folks there ambao wanataka kuanzisha Taifa la Kiislamu,bila kujali kwamba idadi ya Waislamu Tanzania siyo kubwa kuhalalisha jambo kama hilo, kwa hiyo naturally,hawataki kujua Wakristu wako wangapi,na Waislamu wako wangapi.
   
 7. Mashamba

  Mashamba JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  we are not Sister faith ...Nimewachoka hata sitaki kuwasikia hao waliozaliwa kulalamika!
  Hapa hawajamaliza kipindi chao wanaleta kelele,subiria after 2015,utawasikia vizuri.
   
 8. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Shindwaa kabisa pepo la uchonganishi na uvunjifu wa amani...shindwaaaaaaaa
   
 9. F

  Froida JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Mimi nataka tuhesabiwa na tujulikane kwa makabila,dini zetu na hata koo zetu kila kitu bwana sensa si ndio hii serikali kwa nini haitaki najua idadi ya wakristo inajulikana kwa sababu wanautaratibu wakuandikisha wakristo kwa mifumo mbalimbali ukijumlisha nchi nzima kufuatana na madhehebu yao idadi itajulikana tuu,waislamu nao idadi yao inajulikana kutokana na madhehebu yao sasa iwekwe kitakwimu kwenye sensa ya taifa period
   
 10. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Huyu Sheikh Ponda....anamatatizo sana...

  !!!!!!!!!!!!!!
   
 11. doup

  doup JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Unajua kuna watu ndivyo walivyo, hana jema hana baya, ilimradi yeye ni kulalamika tu.
  hata uumpe nini yeye ni lawama tu. Huyu Sheikh, nafikiri hata akifika kwa mola, akapewa pepo atalalamika mbona mimi nik wakati wenzangu wako jehanamu!!?
   
 12. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Some simple questions cannot be sovled by nice talks around the table. Mbakora tu wakawaoneshe wake zao.
  Hawa wanataka kufanya Tanganyika yao hii.
  Mtu ukikosa kazi ya kufanya madhara yake ndo haya.
   
 13. E

  EDOMU Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alafu ukijua kuna waislamu kadhaaaa,what next!!!!kama mtu anania ya kujua idadi ya waumini wake si afanye sensa za kidini .jamani tuacheni utegemezi kila kitu kufanyiwe du!!!
   
 14. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,895
  Trophy Points: 280
  Wanataka sensa ya waisilamu misikitini igharamiwe na serikali.

   
 15. p

  petrol JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Andrew, una wazo zuri. Bahati mbaya kama taifa tumefikia mahali ambapo hatuamini takwimu. kukubali kujua idadi ya waislamu, wakristo n.k. pamoja na makabila kutasababisha malumbano ambayo hayatakuwa na mwisho. Tutaanza kwa kusema wengi wa waliohesabu watu walikuwa wakristu au waislamu, au kabila fulani ni hivyo kupendelea upande unaowahusu. Umeyaona ya NECTA wakati Waziri na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu wakitoka dhehebu moja. Upande mmoja hauna imani na viongozi hao. Ajabu ni nini mtoto wa kiislamu kushindwa somo la kiislamu? Wako Wakiristu wengi wanaoshindwa vibaya somo la bible knowledge. Hata huko Uingereza au Marekani wapo wanafunzi wengi tu wazawa wanaoshindwa vibaya somo la kiingereza. Mtihani ni kitu kingine bwana. Sioni ajabu katika hili. Badala ya kutafuta kiini cha kushindwa tunaelekeza nguvu zetu kutafuta mchawi. sisi watu au taifa la ajabu sana. sijui tunajenga maadili ya namna gani. Kulalamika katika kila kitu.

  Pia kumbuka matatizo ya kisiasa na hata usalama huko Nigeria yalianza na nini. Hadi leo Nigeria haijui ina watu wangapi, ni makisio mtindo mmoja. Kwa nini. kwa sababu raslimali za taifa zinagawanywa kwa msingi wa idadi ya watu katika kila jimbo. Mwingereza aliwaacha na majimbo matatu. Katika busara zao wakaona afadhali kuyaongeza ili kupunguza nguvu na ushawishi wa kijimbo. Haikusaidia. Wakaanzisha utaratibu wa kuwa na mzungumzo katika kukalia kiti cha Urais. Haijasaidia sana. sasa tunasikia Boko Haramu na vitimbwi vyao. Hoja yangu ni kwamba tujaribu kujenga misingi ya kuaminiana. na hili linawezekana katika kuweka misingi mizuri ya ugawaji wa keki ya taifa. viinginevyo malalamiko na shutuma kavitakoma.
   
 16. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hivi mtu kuwa shekhe unaitaji kuwa na elimu gani...?maana qualifications lazima iwepo.....,
  ebu nisaidieni wenzangu....!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...