Matumizi mabaya ya Serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi mabaya ya Serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtagwa lindi, Jun 13, 2012.

 1. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Jana huko wilaya ya kilombero makuu wa mkoa wa morogoro aliwaita wakuu wa wilaya zote mkoani humo pamoja na wakuu wa idara zote kwenda kushuhudia kufunguliwa kwa uvuaji wa samaki katika mto kilombero uliokuwa umezuiliwa kwa miez6,tukio hlo lingeweza tu kutangazwa na bw samaki wa wilaya pia kupitia redio lkn sio kuita watu na kutumia mafuta ya wavuja jasho,nawasilisha
   
 2. M

  Mohamed Ngwasu JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kawaida kumalizia budget kwa style hiyo vinginevyo pesa warudishe
   
 3. J

  John W. Mlacha Verified User

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  posho posho
   
Loading...