Kiapo cha mwanachadema mtiifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiapo cha mwanachadema mtiifu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr Emmy, Jun 12, 2012.

 1. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Kiapo cha Mwanachadema mtiifu kama vile kinasema; Nitakuwa mtiifu kwa uongozi wa chama changu sitahoji mapato na matumizi ya fedha yanayofanywa na uongozi nitajitolea kuwalinda na kuwasafisha viongozi wangu katika kashfa zote ufisadi na ubadhirifu wa ruzuku, misaada ya wageni na michango ya raia kupitia sadaka.

  Katika kufuatilia hoja na taarifa mbalimbali zinazohusu uozo wa matumizi ya fedha na madaraka ndani ya chadema nimegundua kuwa wanachama watiifu wa chama hicho hasa wasomi wameapa kutohoji mapato na matumizi ya fedha ya chama hicho na hata kuukosoa uongozi wa chama hicho. Ukitaka kuchukiwa ndani ya CDM jaribu kukiuka hicho kiapo yatakupata makubwa kama yaliyawapata kina flani.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Natamani sana kuona siku moja tanzania tunajikita kwenye hoja za maana, na uchambuzi wa sera, mfano chama kinasema nini kuhusu kiwango ya PAYE, au chama Y kinasema nini kuhusu foreign policy, au chama Z kinasema nini kuhusu elimu.

  Kuendelea kusoma haya mataputapu hapa ni aibu kwa taifa zima, kwamba miaka 50 ya uhuru bado tuna watu wanafanya propaganda wakati mataifa mengine yanatupita. Kenya wanapiga hatua, Rwanda wanakazana sasa. Tuendokane na hii fedheha.
   
 3. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nyie kwenye chama chenu huwa mnahoji matumizi ya chama chenu? Au nyani haoni kundule? N a mkihoji matokeo yake huwa nini? tuambie na sisi tuanze kuhoji.
   
 4. h

  hans79 JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Kila mnavyoongea pumba ndivyo CHADEMA TEGEMEO LA WANYONGE inavyozidi kustawi, pamoja la gazeti lenu la udaku uhuru hamtofanikiwa kamwe zaidi ya kuzidi kuzoofu kwa nyinyiemu yenu. Tafuteni tiba mbadala labda itawafaa.
   
 5. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  magamba at work......1
   
 6. y

  yaya JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, this is totally ****.
  Unaandika kana kwamba si mwana JF (great thinker).
  Ni aina ya udaku (angalia hapo kwenye wekundu, wataje kama unawajua).

  Mahesabu ya vyama vyote vya siasa yanakaguliwa.
  Kwa upinzani uliopo TZ kwa sasa, CCM ingefurahia sana na kuweka wazi mapungufu yoyote ambayo yangekutwa katika mahesabu ya matumizi ya CDM.

  Usiliongopee jamvi hili ati unasema "Katika kufuatilia hoja na taarifa mbalimbali zinazohusu uozo wa matumizi ya fedha na madaraka ndani ya chadema nimegundua kuwa wanachama watiifu wa chama hicho hasa wasomi wameapa kutohoji mapato na matumizi ya fedha ya chama hicho".

  Wapi ulikofuatilia? Tuwekee nakala za hizo taarifa zako nasi tuuone hupo uozo unaousema.
  Huo wa kwako ni uzushi usio mashiko.
   
 7. k

  kitenuly JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni ugonjwa unazidi kuwa tishio na kuambukiza kwa haraka zaidi "ukosefu wa kinga akilini" ukia. dalili zake ni kuandika pumba. wahi hospitali.
   
 8. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wewe ni gamba lilikuburu sikutegemea utaleta upuuzi wako hapa
   
 9. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  we bwana usitake kutuingiza kwenye ban wenzako hizo pumba unazotuletea ingekuwa kweli cag angesema m*8*** mkubwa wee
   
 10. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Pesa ya sadaka ya Lema inakaguliwa na CAG?
   
 11. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  We emmy una matatizo gani na CDM kuna post nyingine uliuza sadaka zinakusanywa na Lema na hapa napo utumbo uleule ni fedha ndo inakuuma au? mbona huko magamba mnakula kodi zetu kama mchwa huu mchango wa wachache kwa kazi zinazokubalika na watz unakunyima usingizi! BIG POLE BWANA.
   
 12. MANI

  MANI Platinum Member

  #12
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  FJM Mkuu uzalendo uliondoka na sera za azimio la Arusha. Ni vigumu kwa kweli kuamini kuwa mtu anaweza kuanzisha hoja kama hii wakati tunamatatizo lukuki yanayotusumbua !
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Mods waunganishe udaku huu na udaku mwingine upo jukwaa la siasa haraf ni multiple ids yani. ANNAEL + EMMY= MJAMBAMAPUTO MMOJA
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  Kwa kuwa umezoea kutukanwa hapa jukwaa wala sioni ajabu kuandika utumbo kama huu.
   
Loading...