Wadau,
Niko kwenye Panton hapa navuka from Kigamboni.
Nimepita keenye Foleni pale walipokodishiwa Suma Jkt ni Ufisadi wa hali ya juu
Pale getini kuna njia mbili, ya kushoto ambayo ndio ya...
kwa hali ya mambo ilivyo ccm wamechanganywa sana na hili vugu vugu la mabadiliko. Kwa mambo ambayo viongozi wa ccm wanafanya inaonesha kabisa wamepanic na hawajui waanzie wapi.
Kwanza kabisa ni...
Zuku kana Sio kufua wamefulia,wamekuja. Kwa mbwembwe sasa tumewaona Kama wababaishaji tu,hata Euro mmeshindwa kuonyesha?.Jamani anaelitaka mimi naliuza tena na package yake ya 60,000/=.nitafute tu...
Jerry Muro Mtangazaji/Mwandishi wa habari ambae alisimama kufanya kazi kwa miezi kutokana na kesi ya kuomba rushwa, kesi ambayo baadae alitangazwa kushinda, ametangaza kituo chake cha kazi baada...
Wanajamvi poleni kwa majukumu! Kuna tabia wanazionesha na kufanywa na wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Mlimanicity hazitufurahishi wateja. Vocha zao hazina ubora ukikwangua namba zilizofichwa ili...
Wakuu naombeni kufahamishwa,wale watangazaji wawili wa kike wa Radio One.ROSE CHITARA NA ASIA MOHAMED wapo wapi?maana kitambo sn hewani siwapati.NAWASILISHA
Imeniwia vigumu kuamini nilichokiona leo ila ndio ukweli. ITV walitangaza habari kuhusu kifo cha muasisi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo na mara wakapata kigugumizi then wakaweka habari ya...
BY ZANZIBARDAIMAJUNE 8, 2012
Umma wa Kizanzibari ukiwasikiliza viongozi wa Jumuiya ya Uamsho katika Msikiti wa Mbuyuni.
Na Ahmed Raajab, Raia Mwema 6 Juni 2012
UKILALA unaamka. Kama huamki...
today was watching the movie called the A-team...one of the core-starring is Liam Neeson who acted on famous movie called TAKEN AND UNKNOWN.....sasa ukiiangalia hiyo movie(the A-team) mnamo...
nchi ya kenya imepata msiba baada ya waziri wake SAITOTI na watu wengenine sita kufariki kwenye ajali ya helcopter ya jeshi.hao sita nao wanasemekana pia ni viongozi wa serikali.nawatakia...
Heshima JF,
Katika hali isiyo ya kawaida, wana wa kimara mwisho wameyarushia mawe magari aina ya Coaster sita ambayo yalikodiwa kwa ajili ya kujaza uwanja wa jangwani. Gari hizo kwa taarifa...
Umeme umekatika kama lisaa sasa hapa mjini Moshi, kwa kazi niliyokuwa nikifanya inayohitaji umeme ilinilazimu kupiga simu customer service hapa mjini ili kujua na ndipo nilipopewa jibu kwamba ni...
CCM, CUF jino kwa jino
Na Jabir Idrissa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) vimeanza kufarakana; na serikali yao ya pamoja inaweza kusambaratika wakati wowote, MwanaHALISI...
Ikiwa ni kamda nimekaa unyamwezini nimeshindwa kuelewa kabisa tatizo nini kwa ndugu zetu hawa
Nimejaribu hata kuulizia tofauti na mikoa mingine Wanyamwezi mbona ngoma zenu za asiri hazichezwi...
Muundo wa Muungano: Serikali Tatu, Moja, Mbili? Zote!
Zitto Kabwe
Mwalimu Azaveli Lwaitama ni mwalimu na mlezi wangu nje ya darasa. Alipokuwa Katibu wa Umoja wa Wanataaluma Chuo Kikuu cha Dar es...
Wadau wa jf nilikuwa naangalia habari hapa chanel ten, kuna habari kuwa mwanaharakati Bob Makani amefariki dunia na cdm imetangaza wiki ya maombolezezo.
Wana jf, kutokana na tatizo la ajira linaloikumba nchi yetu kwa sasa,nashauri vijana(wanachuo) wote na wasomi mbalimbali wenye uwezo wa kuongoza wajiunge CHADEMA sasa ili wapate muda wa kumulikwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.