BABA: Mwanangu Sasa Ushafikia Umri Wa Kuanza Shule. Jiandae Wiki Ijayo Nikakuandikishe!...
MTOTO: Sawa Baba, Utanipeleka Shule Gani?
BABA: Nitakupeleka Shule Ya Msingi NYERERE!
MTOTO...
Faces of evil: The world's most infamous cannibal killers pictured
As the Miami Cannibal Rudy Eugene is pictured for the first time, we look at other notorious killers who are believed to...
Habari wana JF? Naomba mwenye taarifa juu ya uteuzi mpya wa majaji wapya anijuze kwani sehemu nilipo sina access ya taarifa kamili. Nategemea ushirikiano wenu!
Ndugu zangu wanajamvi mimi hii kitu sielewi inalenga nini,na kwa upande wangu naona kama serikali imeshindwa kabisa kutekeleza wajibu wake.Kila leo unasikia gharama za huduma mbalimbali zikipanda...
naibu Waziri agrey mwanry wa tamisemi ageuka mbogo na kuapa kuwanyoosha wanaohujumu mali na rasilimali za taifa.. Amekiri kujipanga na kuwashughulikia watumishi wote wanaoleta mizahaa katika...
sasa hivi ocean road hamna vifaa vya kupimia salatani. wagonjwa wanaelekezwa waende kupatiwa huduma kwenye hospital binafsi mali ya mfanya kazi wa ocean road.
Ndo maana hospital zetu hazina...
Hi JF members, please nahitaji msaada maana nashindwa kutofautisha kati ya kazi ya askari wa usalama barabarani na mhasibu(mkusanya pesa).J Hawa askari mafunzo yao yanakwenda pamoja ?yaani kusoma...
Kwa wakazi wa arusha hususani watumiao hiace(daladala) na private cars, je uchache wa barabara ndiyo chanzo cha trafik jam au ni tamaa za traffik na kutofuata sheria za barabarani? Mf. Kona ya...
Mgogoro wa kikatiba Tanzania: Chanzo ni nini?
Waziri wa Sheria na Katiba Zanzibar, Abubakar Khamis Bakari
Makala ya Kiongozi wa Upinzani kwenye Baraza la Wawakilishi, Mhe. Abubakar Khamis...
Hivi hapo Dar hakuna kampuni ambayo inaweza kupokea pesa kwa awamu kadhaa mpaka hapo unapomaliza ndio wanakupatia gari? kwa mfano awamu ya kwanza nalipia FOB, awamu ya pili nalipia Freight na...
Kuilalamikia serikali kuhusu matokeo mabaya ya Mtihani wa Dini ya Kiislamu, na hata baada ya kupitiwa upya hayaonyeshi ubora wowote unaoridhisha, ni uvivu wa kufikiri ndugu zangu Waislamu. Kaeni...
Mashambulio dhidi ya makanisa mawili nchini Nigeria yameuwa watu kama wanne.
Shambulio kubwa lilifanywa katika mji wa Jos, katikati mwa Nigeria.
Wakuu wanasema watu watatu walikufa na zaidi ya...
Ccm ilitumia milioni 200 kwa mkutano wa jangwaniINAONESHA JINSI GANI CCM WALIVYOFILISIKA KISIASA,KITENDO CHA KUKODI MABASI NA MALORI KUTOKEA KIBAHA NA KISARAWE KWA GARAMA NYINGINE ZA KUWALIPA...
Most of us wait all year to open presents and blow out candles on the cake, but new research has revealed that you are actually more likely to die on your birthday than any other day.
Adam...
freemason signs
SEE TESTIMONY ON FREEMASONRY BELOW
Henry,
I visited my old college, since some of the guys I know there were participating in a literary reading of their own work. After the...
Hii ITIKADI ya vyama imefikia pabaya sana. Tupo kwenye Mafunzo ya women
emporewement politics leadership.
Bahati mbaya tumepewa karatasi ya kuandika majina Na vyama tutokavyo.
Likaja suala la...
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.